mgoshawampasa
Senior Member
- Jul 30, 2014
- 105
- 27
Nimeacha kutumia akaunti yangu ya zaman baada ya id yangu kujulikana na baadhi ya watu na kwakuwa ilikuwa inafanana na id kwenye mitandao mingine. Kwa sasa nimefungua akaunti hii na nataka kufunga ile ya zamani nifanyeje?