Kufunga macho kwa mabinti ni aibu ama maumivu ?

Kufunga macho kwa mabinti ni aibu ama maumivu ?

uInasemekana wa migombani macho wanafunika na gazeti... tehe tehe,,,
 
mkiataba feki umenifurahisha
umenikumbusha mbali niliambiwa na dk mmoja ukitaka kuchelewa kumwaga usiniulize nini
kumbuka mbayawako basi nikiwa shugulini namkumbuka prof mmoja wa somo la maji anaitwa
mayo basi nikifikiria somo lake yaani pale nashinda hata wiki aitoki ndugu yangu hii niuwazi na ukweli
ama kama uamini jaribu

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa.......
 
duuu hii dunia hapana
lakini hivi na wanaolia huwa wanaumia ama?
 
nauliza JF Ya kichina yaitwaje? pili nauliza ICU Ya invisible Lini itakuwa visible na kupeleka hoja kama hizi FB. Kule kuna mabint wa sec wanazipendaga sana. jf imeja wanawake na wanaume, mabint nadra sana kuwapaja humu..kama kuna nanaume anayefukuzia vibint ni fatak.. mafataki hayana muda na jf.. wanawake wakiwa kazini hawafumbi macho, wako on wakikamata ushahidi wote live, mwanamke lazma amshuhudie mbaba anavyopambana kukifikia kilele cha mlima, mwanamke lazima amkodole mwanaume anapopatwa na kiwewe...
 
vibinti ndivyo vinavyofunga macho, manake vikikutazama as if vyamwangalia baba yake. but mwanamke hafumbi macho kamwe!! wanaume wengine ukifunga macho kidogo wanatelezea ikulu kuu.. ukistuka utaskia eti sababu ya ulevi. ukimwambia toa sasa, anajibu ngoja kidogo.. UNAMFURUMUSHIA EBO!
 
owkey kama ni hisia, dont overdo it, at least mara moja moja unafumbua macho. Mwingine anaweza kuelewa unamwogopa au umelazimishwa. Be free unapokuwa na mwenza bhana
 
Its very annoying kissing someone halafu yeye katoka majicho tu @Clemmy. It is as if nothing is happening, Aaarrgggghh!
 
kufumba macho mara nyingi unaconcentrate na utamu unaopata! wala sio wizi
 
Nimewiwa kuuliza hili hiivi wakati wanandoa mkiwa mnakula lile tunda
wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho
na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza
kumantain above see level bado wanakuwa wanafunga macho

najiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwa
wanasikilizia maumivu?? Na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baada
ya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!

Pdidy, kumbe wewe huwa unakodoa tu mijicho? Sasa nikuulize kwanini wewe huwa unakodoa mijicho?
 
duuu hii dunia hapana
lakini hivi na wanaolia huwa wanaumia ama?

Ni utamu tu ndugu yangu. Je na wanaume wanaotoa ahadi kibao wakati wa mechi huwa inakuwaje hadi wanatoa ahadi hizo
 
mkiataba feki umenifurahisha
umenikumbusha mbali niliambiwa na dk mmoja ukitaka kuchelewa kumwaga usiniulize nini
kumbuka mbayawako basi nikiwa shugulini namkumbuka prof mmoja wa somo la maji anaitwa
mayo basi nikifikiria somo lake yaani pale nashinda hata wiki aitoki ndugu yangu hii niuwazi na ukweli
ama kama uamini jaribu

duh pddy usinikumbushe ya mayo,yan yule alinitesa sana udsm we acha tu!
 
samahani kwa ndugu zangu wachaga
clemmy kama ushawahi kwenda harusi za wachaga unajua kwa nini wanashikana mikono...
Hili nakusaidia usishangae ukimpata mchaga akikupa penzi ndio kwanza anakutolea jicho
kama umeshika surua li upande wa kulia

hili si swala la kabila, kila mtu anastaili yake ya kusikilizia utamu!!! Mbona kuna wanotafuna nyama na huku wamefunga macho??
 
hapo ni mixa mixa,...kama nia aibu wapo wale wanaovuta sketi zao juu na kufunika macho wakati wa ku-hapen!!hiyo ndio aibu...sasa kufumba kwa kawaida hiyo ni utamu mixa na maumivu...kama unavyotumia cotton-buds kusafisha sikio vile...
 
Jamanieee, ule utamu tu pdidy, yaan acha kabisa mtumishi, maumivu tunakunja sura!!!
 
Mi ninachoamini nikwamba haitakiwi ufunge macho mwanzo mwisho! kuna muda inabidi mtizamane na mwenza wako hii huleta msisimko hata baadae mkikaa mbele za watu mkitizamana tu mnaanza kukumbukia 6X6! Ni maoni yangu tu na ndivo nifanyavyo...
 
Back
Top Bottom