Nawasalimu nyote!
Ndoa ni Jambo la furaha kwa baadhi ya watu
Si watu wote maana wazee wa kataa ndoa, nawaona wananicheki kwenye darubini kwa hasira. Siku ya harusi Ni full shangwe kwa maharusi, wazazi pande zote, ndugu jamaa na marafiki, mabibi kwa mabwana!
Wakati maharusi wakiwa na furaha iliyopitiliza, kwa mbaali kule kwenye meza za waalikwa Kuna Somebody mpenzi X wa Bwana harusi au Bibi harusi yupo na bia yake anawachora tuh!
Kinachosikitisha huyu mpenzi X ametoa mchango kwa kadi aliyopewa na X wake, ambaye ni Bwana au Bibi harusi au anyway, amefight mwenyewe kupata kadi!
Shida iko wapi?
Shida Ni kwamba, iwapo huyu jamaa aliye ukumbini Ni X wa Bibi harusi, basi Bwana harusi pale ndani unadharaulika!
Bwana harusi Suti Safi, mbwembwe nyingi pale ndani, ila huyu jamaa anakuchora tu. Anakumbuka mbususu ya Bibi harusi ilivyo, imetuna au imesinyaa, Ina bwawa au imenata, Ina joto au baridi. Anakumbuka show ya kitandani, rafu alizomchezea, alivyomkunja akakunjika, bibie alivyokuwa anasikilizia mkuyenge n.k
Kama pale ukumbini yupo bidada, X wa Bwana harusi, Basi Bibi harusi ana dharaulika. Bidada anakumbuka mkuyenge wa Bwana harusi, muhogo au bamia. Anakumbuka show ya Bwana harusi, yakibabe au mbovu!
Lengo la uzi wangu Ni kuwasihi wale wanaotarajia kufunga ndoa na kufanya harusi, wasiwaalike ma X ili kuwathamini wapendwa wenu munaofunga nao ndoa
Uamuzi wa kufunga ndoa means una great love kwa huyo mpendwa wako. Basi mruhusu afurahie harusi yenu pasipo kumleta mmluki kwenye harusi ambaye kazi yake Ni kumtazama mpendwa wako kwa kumpuuza,
Ni hayo tu!
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app