Kufunga ndoa halafu siku ya harusi wanahudhuria ma ex, sio poa kabisa!

Wakati MC anampamba kwa sifa Bibi harusi:
" Mshangilieni Bibi harusi
"Mrembo kwelikweli
"Hakika Bwana amepata mke
"Piga makofiiiii

Waalikwa wanashangilia, jamaa limekaa pale na bia yake, (x wa Bibi harusi) Hana vibe
Anapiga dharau nafsini mwake " Demu gani choko tu huyo"
Au yupo na mshikaji wake ananong'ona " yule Bibi harusi nimemgegeda Sana, Hana maajabu Wala Nini!
Sasa huyu mtu wa Nini kwenye sherehe ya mpendwa wako unayesema unampenda

Mc: Haya haya huyo Ni Bwana harusiii
Anapendezaaa
Dume la shokaaa
Hakika Bibi harusi kapata mumeee

Wakati waalikwa wanashangilia, bidada x wa Bwana harusi anabinua midomo

"Khaa, dume la shoka hilo kwiiooo!
Amtafutie waganga mapemaaa
Maana si kwa kibamia kile

Sasa mtu Kama huyo wa Nini kwenye sherehe yenu na mpendwa wako?


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sijaona mantiki ya ushauri wako, kwenye sherehe watu wanawaza kula kunywa na kupiga picha na maharusi huyo mwenye muda wa kuwaza mbususu nani? Labda ungesema kama ex anaweza kuleta uharibifu hasa wanawake anaweza mfunga mwenzake asizae au kuifanya ndoa isikalike kupitia zawadi
 
Weakman are you a Weakman 🤔
 
Na mimi niliezaa nje ya ndoa, napaswa kumwalika mzazi mwenzangu siku ya harusi yangu?
 
Normal sasa KE sijamkuta bikra nianze kuwaza ya Ex wake yann?
Vema
Kunywa soda nitalipa!
Fikra zako si mbaya maana zinakupa Uhuru?
Ila fikra zako hazisafishi hii situation mbaya ya mume kujimwambafy mbele ya waalikwa kwa sababu ya kupata Bibi harusi ambae ex wake anaejua harufu ya mbususu yake yupo pale anakupuuza tu!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…