Umasikini mbaya, tafuta pesa.Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text
Mungu amewaondoa Kwa sababu Shukuru kwa yoteNilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text
Usipaniki jamaa..ndio maisha ya watanzania wamejaa unafiki..siku ukiwaambia unataka kuoa watakupa saport..siku ukiomba mchango wote huwaoni.Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text
Nikakausha nikakomaa likapita saivi wengine wanaishia kuview status WhatsApp tu na wengine tukionana wanajikanyaga tu
Nimeamua saivi nitachangia misiba tu Teena ila ya moja kwa moja cjui kipaimara harusi cjui nini mwisho na Nina list ya walionichangia ndo nataka tu kuwarudishia michango yao baasi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Habari za kuchangishana kwenye harusi na misiba ni habari za ujima.Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text
Nikakausha nikakomaa likapita saivi wengine wanaishia kuview status WhatsApp tu na wengine tukionana wanajikanyaga tu
Nimeamua saivi nitachangia misiba tu Teena ila ya moja kwa moja cjui kipaimara harusi cjui nini mwisho na Nina list ya walionichangia ndo nataka tu kuwarudishia michango yao baasi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu ulichoongea kipo sahihi saana Lakin tunaish kwenye jamii ya ivo nilifanya lakini 80% niltumia pesa yangu kinachouma kuna watu ulijotoa kwao 100% lkn inakuaje mtu asipokee cm c Bora afunguke Hali ngumu maisha yatasongaHabari za kuchangishana kwenye harusi na misiba ni habari za ujima.
Tutengeneze uchumi utakaowezesha watu kugharamia harusi na mazishi yao wenyewe.Ikibidi hata kwa bima maalum za maisha na mifuko maalum ya kuweka akiba za harusi.
Kama mtu anaamua kutoa iwe zawadi kwenye harusi au kusaidia familia vitu vikubwa kwenye misiba.
Naelewa hali ilivyo, na kwamba haya mambo labda yanahitajika kwa sasa, na kwamba yameonekana kama sehemu ya utamaduni, lakini, kimsingi, ni maishabfulani ya kijima yanayojiondoa katika kujitegemea.
Pia, kwenye harusi watubwengi wanaendekeza harusi kubwa zenye gharama sana wakati hawananuwezo wa kiuchumi kuzi support harusi hizo na kuishi maisha yaliyo sawa na harusi hizo. Na gharama hii inabebwa na michango.
Michqngo ya harusi inakuwa mingi kuliko michango ya shughuli za maendeleo.
Utasikia sana watu wanachangishana harusi, lakini husikii watu wakichangishana hivyo kwenye biashara au kusoma.
Hii ni dalili ya jamii inayoendekeza kubembea badala ya kufanya kazi.
Tufikie wakati iwe nibjambo la aibu mtu kuhitaji kuchangiwa ili kufanikisha harusi yake.
Ikibidi vijana, kama wanatakanharusi za kifahari, waanze kuweka akiba tangu wadogo.
Mbona nyumba watu wanajenga bila kuchangiwa na jamii?
Sasa hivi tunatengeneza mpaka uhasama kwa sababu ya michango ya harusi, urafiki unakwisha kwa sababu ya michango ya harusi.
Mbona zamani watu walifanya harusi simole sana na ndoa zilidumu vizuri tu?
Kwani ni lazima kufanya harusi zenye gharama kubwa sana?
Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Mkuu,ukiachana na ujima,pia Pressure ya kuridhisha walimwengu ni kubwa mno.Usipofanya makuu utasimangwa,ukijitutumua na michango ndio kadhia kama za mleta mada..Habari za kuchangishana kwenye harusi na misiba ni habari za ujima.
Tutengeneze uchumi utakaowezesha watu kugharamia harusi na mazishi yao wenyewe.Ikibidi hata kwa bima maalum za maisha na mifuko maalum ya kuweka akiba za harusi.
Kama mtu anaamua kutoa iwe zawadi kwenye harusi au kusaidia familia vitu vikubwa kwenye misiba.
Naelewa hali ilivyo, na kwamba haya mambo labda yanahitajika kwa sasa, na kwamba yameonekana kama sehemu ya utamaduni, lakini, kimsingi, ni maishabfulani ya kijima yanayojiondoa katika kujitegemea.
Pia, kwenye harusi watubwengi wanaendekeza harusi kubwa zenye gharama sana wakati hawananuwezo wa kiuchumi kuzi support harusi hizo na kuishi maisha yaliyo sawa na harusi hizo. Na gharama hii inabebwa na michango.
Michqngo ya harusi inakuwa mingi kuliko michango ya shughuli za maendeleo.
Utasikia sana watu wanachangishana harusi, lakini husikii watu wakichangishana hivyo kwenye biashara au kusoma.
Hii ni dalili ya jamii inayoendekeza kubembea badala ya kufanya kazi.
Tufikie wakati iwe nibjambo la aibu mtu kuhitaji kuchangiwa ili kufanikisha harusi yake.
Ikibidi vijana, kama wanatakanharusi za kifahari, waanze kuweka akiba tangu wadogo.
Mbona nyumba watu wanajenga bila kuchangiwa na jamii?
Sasa hivi tunatengeneza mpaka uhasama kwa sababu ya michango ya harusi, urafiki unakwisha kwa sababu ya michango ya harusi.
Mbona zamani watu walifanya harusi simole sana na ndoa zilidumu vizuri tu?
Kwani ni lazima kufanya harusi zenye gharama kubwa sana?
Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Watu wamepigwa halafu wanaona haya kusema wamepigwa.Mkuu ulichoongea kipo sahihi saana Lakin tunaish kwenye jamii ya ivo nilifanya lakini 80% niltumia pesa yangu kinachouma kuna watu ulijotoa kwao 100% lkn inakuaje mtu asipokee cm c Bora afunguke Hali ngumu maisha yatasonga
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Tuondokane tu na maisha haya feki ya kuridhisha watu.Mkuu,ukiachana na ujima,pia Pressure ya kuridhisha walimwengu ni kubwa mno.Usipofanya makuu utasimangwa,ukijitutumua na michango ndio kadhia kama za mleta mada..
Bila ya msimamo dhabiti,watu wengi hawaishi maisha yao.
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kwa upande wa harusi nakubaliana na wewe kabisa, ila misiba mmh pagumu hapoHabari za kuchangishana kwenye harusi na misiba ni habari za ujima.
Tutengeneze uchumi utakaowezesha watu kugharamia harusi na mazishi yao wenyewe.Ikibidi hata kwa bima maalum za maisha na mifuko maalum ya kuweka akiba za harusi.
Kama mtu anaamua kutoa iwe zawadi kwenye harusi au kusaidia familia vitu vikubwa kwenye misiba.
Naelewa hali ilivyo, na kwamba haya mambo labda yanahitajika kwa sasa, na kwamba yameonekana kama sehemu ya utamaduni, lakini, kimsingi, ni maishabfulani ya kijima yanayojiondoa katika kujitegemea.
Pia, kwenye harusi watubwengi wanaendekeza harusi kubwa zenye gharama sana wakati hawananuwezo wa kiuchumi kuzi support harusi hizo na kuishi maisha yaliyo sawa na harusi hizo. Na gharama hii inabebwa na michango.
Michqngo ya harusi inakuwa mingi kuliko michango ya shughuli za maendeleo.
Utasikia sana watu wanachangishana harusi, lakini husikii watu wakichangishana hivyo kwenye biashara au kusoma.
Hii ni dalili ya jamii inayoendekeza kubembea badala ya kufanya kazi.
Tufikie wakati iwe nibjambo la aibu mtu kuhitaji kuchangiwa ili kufanikisha harusi yake.
Ikibidi vijana, kama wanatakanharusi za kifahari, waanze kuweka akiba tangu wadogo.
Mbona nyumba watu wanajenga bila kuchangiwa na jamii?
Sasa hivi tunatengeneza mpaka uhasama kwa sababu ya michango ya harusi, urafiki unakwisha kwa sababu ya michango ya harusi.
Mbona zamani watu walifanya harusi simole sana na ndoa zilidumu vizuri tu?
Kwani ni lazima kufanya harusi zenye gharama kubwa sana?
Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Pole sana mkuu,Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text
Nikakausha nikakomaa likapita saivi wengine wanaishia kuview status WhatsApp tu na wengine tukionana wanajikanyaga tu
Nimeamua saivi nitachangia misiba tu Teena ila ya moja kwa moja cjui kipaimara harusi cjui nini mwisho na Nina list ya walionichangia ndo nataka tu kuwarudishia michango yao baasi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nina sympathy zaidi kwenye msiba, ila, kimsingi tunatakiwa kujitegemea.Kwa upande wa harusi nakubaliana na wewe kabisa, ila misiba mmh pagumu hapo
Mimi siku baada ya kuwa nabangaiza harusi sichangii kabisa, msiba walau nitajipigapiga ila harusi nisamehewe tu...kwani lazima kufanya sherehe?Hata mimi nina sympathy zaidi kwenye msiba, ila, kimsingi tunatakiwa kujitegemea.
Kama mtu akituunga mkononkwenye harusi au msiba, iwe ni kitu cha ziada tu.
Haya si mambo ambayo hatujui kwamba yanakuja.
Tujue tushaondoka kwenye uchumi wa kijima, tupo katika uchumi wa watu kujitegemea.
Hata misiba tunaweza kuifanya isiwe na gharama kubwa sana. Kwa mfano, suala la msiba kuwa wa siku nyingi si la muhimu sana.
But yeah, harusi ina nafasi ya kupangwa vizuri zaidi kuliko msiba kwa hivyo I have more sympathy kwenye kuchangia msiba.