Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Utu uzima dawa dear
Uko milima ya wapi eti nikuje can't wait [emoji39][emoji39]
Nilikuwa kwenye milima ya usangu uku upaleni, ila sasa nipo njiani nashuka mjini, sio mbaya kama tukijumuika wote kwenye hii safari my lady, kwani wewe upo wap?
 
Me alinitumia eti let's make a deal, kalivyo kajinga eti kanadanganya kako na miaka 23
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ye ndio alisababisha me nikajifungia zangu PM
[emoji23][emoji23][emoji23] hako mbona Kama nakamanya
 
Hahahahhhahahahhahahahahhahahahahah likopo la chooni tena
 
Me alinitumia eti let's make a deal, kalivyo kajinga eti kanadanganya kako na miaka 23
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ye ndio alisababisha me nikajifungia zangu PM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni same msg anabadili tu jina na kuipate kwa kila ke humu ndani.
Nikisema humu yamejaa mafurushi wanachukia.
 
Unakajua? Hata kwangu kalikuja, kalinifanya ninyong'onyee yaani nilijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kumbe kanaingia kwa kila mtu?
Yaani ukajiuliza maswali kisa lifurushi la humu[emoji134][emoji134][emoji134]
Mwenza unaniangusha, mbona ni mambo expected.
 
Anavyoandika tu unajua huyu hata elfu50 hajawahi kushika halafu anaongelea milioni. Furushi kweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni same msg anabadili tu jina na kuipate kwa kila ke humu ndani.
Nikisema humu yamejaa mafurushi wanachukia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…