Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😀😀😀😀 nimecheka sana Mkuu. LolNasema hivi, simu yangu, bando langu, ID yangu, kwanini mwingine anipangie nnavyoishi JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀 nimecheka sana Mkuu. LolNasema hivi, simu yangu, bando langu, ID yangu, kwanini mwingine anipangie nnavyoishi JF?
Nasema hivi, simu yangu, bando langu, ID yangu, kwanini mwingine anipangie nnavyoishi JF?
[emoji23][emoji23][emoji23] kiukweli mwenza nilijiuliza sana, nikasema nina mwandiko wa ki-kahaba kahaba nini?Yaani ukajiuliza maswali kisa lifurushi la humu[emoji134][emoji134][emoji134]
Mwenza unaniangusha, mbona ni mambo expected.
Mbona cheko mama?Halafuuuu mmmh ehhehehehehhheh
😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] kiukweli mwenza nilijiuliza sana, nikasema nina mwandiko wa ki-kahaba kahaba nini?
😂😂 anabadili dau tu, Mara 1M au 1.2M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni same msg anabadili tu jina na kuipate kwa kila ke humu ndani.
Nikisema humu yamejaa mafurushi wanachukia.
Bado nakusubiria ujue[emoji23][emoji23] anabadili dau tu, Mara 1M au 1.2M
Mafurushi wakubali tu ilo jina maana linawafaa mno
Na miaka yake 23 atolee wapi milioni, bora hata angekuwa anadanganya yuko above 30Anavyoandika tu unajua huyu hata elfu50 hajawahi kushika halafu anaongelea milioni. Furushi kweli.
Kunywa bia Max anakuja kulipa.Sioni sababu ya kufunga pm sijisikii kukujibu nakukaushia..period
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umbea unakukosa ujueMamy nimefunga pm Muda mrefu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja Dada 😂Bado nakusubiria ujue
Wewe si umefunga pm! Haya we endelea kuifunga tuNimehisi kitu hebu uninong'oneze mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunywa bia Max anakuja kulipa.
Uwepo au kutokuwepo kwa last seen wewe kunakupunguzia nini ?Anayefunga PM hana tofauti na yule anaetoa whatsApp last seen....wote naonaga ni watoto tu.
Chukua na Ice cream moja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] chidhi wehChukua na Ice cream moja.
Hivi unajua pm imewekwa ili itumike rafiki? Usinifungie.
Fungua PM na wewe acha kuwa wa kizamani utakosa mambo muhimu.[emoji23][emoji23] chidhi weh
Jina lako una hide vipi mpenzi. Na mimi nataka ku hide. Halafu nitakutumia namba yangu uone kama nimefanikiwa ku hide baada ya kunielekeza.Nimefreeez last seen
Nmehide blue ticks
Nmehide second tick
Nmehide jina langu kuappear kwenye viewers list
Nmehide typing and recording VN
[emoji13]
Achana na huyo baada ya kupata mme eti kafunga PM. Namwangaliiaaa nasema HIIIIII zeshchrissWewe si umefunga pm! Haya we endelea kuifunga tu