Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unaamua umtumie nani. Naona unataka kunibana kwenye kona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unaamua umtumie nani. Naona unataka kunibana kwenye kona.
Ingekuwa poa sana.Kiukweli kabisa ilitakiwa waliofunga wasiweze kumiwa wala kutuma
Jamani mbona kuko waziIliniuma sana nilijaribu kuja pm yako wiki tatu zilizopita nikakuta imefungwa,Kuna issue nilikuwa nataka unishauri basi nilimuachia mungu.
Kumbe kweli hujafungaIngekuwa poa sana.
Naomba nielekezweSumbawanga mkuu
Okey, may be, we're in the same cage but different chambers. Ndio maana thinking about you all the time najiuliza kwanini. Au kumbukumbu zangu zinanituma tofauti my queen.Kwenye mlima mrefu kuliko yote Africa
Nipo Shadeeya, nasikiliza nyimbo laini za zilipendwa huku naendelea kupata kinywaji changu taratiiibu
HahahahahahaOkey, may be, we're in the same cage but different chambers. Ndio maana thinking about you all the time najiuliza kwanini. Au kumbukumbu zangu zinanituma tofauti my queen.
Wewe si umefunga pm! Haya we endelea kuifunga tu
Kumbe, bas sawa, coz last week, Saturday nilikuwa hapo kwa town kuna kifaa nilikwenda kutafuta...but in between next week nitakatisha kwa gari kwenda #atown.Hahahahahaha
Maybe yo right ...
Basi itakuwa JF yenyewe ndo ilizingua.Jamani mbona kuko wazi
Mbona hukunishtua jamani mhenga wangu..Kumbe, bas sawa, coz last week, Saturday nilikuwa hapo kwa town kuna kifaa nilikwenda kutafuta...but in between next week nitakatisha kwa gari kwenda #atown.
Ila leo nahisi haupo sawa sana my lady, kama kuna kitu hakijaenda poa upande wako. Am I ?..(right).
Mpaka uwe na ungo mkuuNaomba nielekezwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Weweeeee kuko wazi? Umekuacha wazi?Jamani mbona kuko wazi
I was blind on that, mana tunge turn an' write new page of...ila bado tuna imani...Mbona hukunishtua jamani mhenga wangu..
Lakini satoo sikukuwa niko na kama two days...
You know me better, yes am not that okay...yo (right)
Mejikuta nasmile..I was blind on that, mana tunge turn an' write new page of...ila bado tuna imani...
Pole kwa siku ya leo. I feel what you feel, we share, thus why, najikuta siko na amani kabisa even though nothing happen to my side.
Take time to rest na kumbuka nyakati nzuri tulizowai pitia. [emoji8]
Rafiki
Ila muamala unajibu
Kunammoja alikua anaumwa nikampa juice hata asante hajatoa asaivi nimefunga yangu
Unakajua? Hata kwangu kalikuja, kalinifanya ninyong'onyee yaani nilijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kumbe kanaingia kwa kila mtu?