Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Ngoja nije kukusalimia nione
Mwenye shida ya dhati atajua nini cha kufanya.

Ndio maana waliweka kufuli wanaotaka wafunge. Na mimi ni miongoni mwa waliofunga. Nafikiri sijavunja masharti ya JF.
Uko salama lakini?
 
jf hata pm watoe tu no problem kabisa .......mi humu ni kuchota info tu
 
Mejikuta nasmile..
Pole mnoo jamani kwa kufeel bad..

Will be fine, I promise... Blessed for yo concern.... [emoji8][emoji8]
Thanks for give me hope my queen, siku hazifanani, certainly, leo itakuwa siku nzuri kwetu...
How're you?
 
acha wafunge tu watatongozana wenyewe kwa wenyewe(ke) ndo zao hawa..

mabaharia hatutishiki wala nini..
mbona yule mdada nanii alinifungia pm yake baaday akasanda mwenyewe?
 
Morning mhenga wangu!
Sijambo mimi jamani
How's you?!
Mi niko poa kabisa my princess,
Welcome to enjoy our day, hizi mambo za kukuacha nyuma mwisho unakuwa mpweke inabidi tuziache kabisa, come here, too close my lady to fly.
 
Back
Top Bottom