Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Na kavutia waya hako ka jamaa
Mbona cheko mama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona cheko mama?
😀😀😀😀 nimecheka sana Mkuu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umbea unakukosa ujue
Wacha wee...legeza kidogo boss, uwe unatufungulia walau mara moja moja
Yangu iko wazi Kama geti la feriFungua PM na wewe acha kuwa wa kizamani utakosa mambo muhimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiiiiiiiiiiiiiiiiiiAiiii maaaaa mi na wewe hatuna vizuizi hahahhahaha
Iliniuma sana nilijaribu kuja pm yako wiki tatu zilizopita nikakuta imefungwa,Kuna issue nilikuwa nataka unishauri basi nilimuachia mungu.Mi nilfungaga baada ya wajinga kuwa wengi ila wala sikua najali mengine.
Kuna watu wajinga sana pm hamjui tuu.
Emu fungua group kwanza tukamjadili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ukiwa una shida ya msingi unamqoute mtu Na kumuomba akupm katika thread utakayoona yupo active.Iliniuma sana nilijaribu kuja pm yako wiki tatu zilizopita nikakuta imefungwa,Kuna issue nilikuwa nataka unishauri basi nilimuachia mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulijadili furushi!! hapana kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hako mbona Kama nakamanya
Mwenye shida ya dhati atajua nini cha kufanya.
Ndio maana waliweka kufuli wanaotaka wafunge. Na mimi ni miongoni mwa waliofunga. Nafikiri sijavunja masharti ya JF.
Uko salama lakini?
Wacha bwana!! Kumbe umefunga, hivi ukifunga hautakiwi kutumia na za wenzio si ndio?
Sawa baharia [emoji23][emoji23][emoji23]Mie baharia tu, sijafikia uboss bado. Nikiwa boss ntafungua PM
Hakika lazima kamati ikae
Kiukweli kabisa ilitakiwa waliofunga wasiweze kumiwa wala kutumaWacha bwana!! Kumbe umefunga, hivi ukifunga hautakiwi kutumia na za wenzio si ndio?
Kwenye mlima mrefu kuliko yote AfricaNilikuwa kwenye milima ya usangu uku upaleni, ila sasa nipo njiani nashuka mjini, sio mbaya kama tukijumuika wote kwenye hii safari my lady, kwani wewe upo wap?