Kufungia simu Serikali itapoteza zaidi ya 30% ya kodi toka makampuni ya simu

Ukifanya uhalifu kupitia simu yako ya mkononi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza kwa hoja ya sim card kuuzwa kwa ID au bank card, ukaambiwa si kweli, ukahamia kwenye simu na IMEI ukaambiwa kuna Sunday market, sasa unahamisha hoja. Point yako ni nini hasa?
 
Uhujumu Uchumi
 
hawajali kodi wanafungia kimkakati , wana malengo ya kupata hela ya haraka haraka kutoka kwa kampuni za simu kwa kuwatoza fine kubwa kwa line zisizozimwa nia Ya TCRA ni hovu

wanajipendekeza kumtafutia Maghufuli hela za campaign kwa kuumiza wananchi

Kwa kila mteja mmoja ambae hajakamilisha usajili wa Alama za vidole simcard ikiachwa bila kufungiwa na kampuni husika TCRA imepanga kuwapiga fine ya shillingi laki 700,000 (kwa kampuni ya simu husika kwa kila siku hiyo simcard ambayo itakavyokua hewani na huku haijasajiliwa )
 
Umeanza kwa hoja ya sim card kuuzwa kwa ID au bank card, ukaambiwa si kweli, ukahamia kwenye simu na IMEI ukaambiwa kuna Sunday market, sasa unahamisha hoja. Point yako ni nini hasa?
Hoja yangu ni kuwepo uthibiti wa uhalifu kwa kupitia simu na simu sio handset tu au SIM card ni combination ya vyote ndio uhalifu unaweza kufanyika.
Una la ziada?
 
Hizo lyca mobile unatumia kupiga internal call or outside the country ??
Na hiyo handset unayotumia yenye imei number nayo uliinunua cash bila kuulizwa jina na post code??
Kwani simu ina mipaka ya kupiga?
Tayari umeshaelezwa kuwa U.K unanua simkad kwa cash bila ya kitambulisho. Unachofanya wewe ni kijizungusha na kutoa madai yako yasiokuwa na msingi.
Hiyo kuulizwa jina lako na Post code haina uhusiano na hayo madai yako.
Kuulizwa jina na Post code ni jambo la kawaida kwa UK hata ukinunua pasi au redio.
Unaulizwa ili iwe ni ushahidi kuwa kile kitu ni mali yako.
Kwa anaenunua simcad akisema jina lisilokuwa lake, na Post code isiyokuwa yake atajulikana vipi? Jee hapo kuna kuzuia uhalifu?
 
It seems u don't know how things are operating that is why u r talking about telling lies , ndio yake yake ya kusema ID yako itumike kusajili simu card zaidi ya moja bila kujua in built controls .
Any way naona najadiliana na mtu asiye na uelewa of how this issue or things operate.
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…