Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Umetapeliwa kijinga kwa sababu wewe ni mpuuzi.
Huyo tapeli aliyekupigia simu huenda alikuwa pale pale mlimani city ulipokuwa unahangaika kutoa pesa, akawa anakuchora tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanisoma vyema katikati ya mistari , umekurupuka sasa hapo mpuuzi ni nani?
Hebu rudia kusoma nilichoandika!
Halafu wewe ukute ndiye yule jamaa aisee maana umehamaki sana!
Sasa mimi nitazaa na wewe [emoji123][emoji123]
Nitainunua hii case nakwambia!
Ni ama arudishiwe hela yake la sivyo jamaa itamgharimu sana si vema nikafunguka kwa kila kitu hapa nikaharibu uchunguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app