babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
mfungishaji wa ndoa m1 baada ya kuwafungisha ndoa mashoga wawili, alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni mke na mume" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? padri akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"