kufungisha ndoa mashoga kazi kweli kweli

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,328
mfungishaji wa ndoa m1 baada ya kuwafungisha ndoa mashoga wawili, alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni mke na mume" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? padri akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
 
Hahahaha una utani na timu za watu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Duh ngoja waje wamalizie stress zao kwako....mie hata simo. Eti umesemaje vile????!
 
Hehehehehehe raha jipe mwenyewe usisubir kupewa mwenye wivu ajiuzulu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mfungishaji wa ndoa m1 baada ya kuwafungisha ndoa mashoga wawili, alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni mke na mume" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? Padri akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED

TEH TEH TEH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…