Afu babumapunda unaitania timu yangu kana kwamba ni ya mashoga eeh? Nikikukamata...!
huyo padri alikuwa anaitwa fergason au
Kwa maana yako MAN Utd ni magay?mfungishaji wa ndoa m1 baada ya kuwafungisha ndoa mashoga wawili, alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni mke na mume" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? padri akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Labda alikuwa anaitwa padri Kameruni
Kwa maana yako MAN Utd ni magay?