Kufungiwa nyimbo 2 za Diamond: WCB waishtaki BASATA kwa Makonda..

Kufungiwa nyimbo 2 za Diamond: WCB waishtaki BASATA kwa Makonda..

Ama kweli ukiamua kuashetani usiache na ibada zao,jaman ile video ya nyimbo ya mond na Rick rose hawaoni kama inautovu wa nidhamu.
makonda kawa mkaguz?

eti anakagua nyimbo,huyu si mlokole na anasali kwj aposto Ndegi? Akakague mapambio na si nyimbo za kiduni.
 
Kwani sheria inasemaje ya kupinga hayo maamuzi?
Naibu wazili alichemka
huwezi fungia nyimbo kabla ya kuwapa wahusika haki ya kusikilizwa
lkn pia nilisiki kisa cha Roma kupigiwa simu hakupokea!
sasa huwezi kumuadhibu mtu kwa kutopokea simu
alipaswa kuitwa hata kwa wito wa magezetini kabla ya adhabu
ilipaswa na yy asikilizwe kwanza kabla ya kuadhibiwa
kwa kifupi katika jicho la sheria adhabu zote ni batili.
 
Tekno miles - Rara
Wiz kid - ojuelegba
Davido - If
Yemi alade - Johnny
Nasty c - NDA

Basataaaaaa fungieni na hizi nyimbo...
[emoji2] [emoji23] [emoji119]
 
Ali kiba - seduce me.

Basata mmesahau hii nyimbo. [emoji1] [emoji13] [emoji119] [emoji119]
 
e3e0501cd974bc077719ebfeabf1b4ad.jpg

hii statement yake iliacha hoi kweli kweli wakati lulu amehukumiwa kifungo jela.
 
Tekno miles - Rara
Wiz kid - ojuelegba
Davido - If
Yemi alade - Johnny
Nasty c - NDA

Basataaaaaa fungieni na hizi nyimbo...
[emoji2] [emoji23] [emoji119]
Ila wewe[emoji38] [emoji16]
 
Kwa hiyo kila linalo wakuta wcb ni clouds wapo nyuma yao[emoji28][emoji28][emoji28] Jamani kama kitu hakina uwakika tukiache kama kilivyo kuliko kuchafua brand ya watu wametua muda mwingi kuifikisha pale ilipo sasa...

Hata Mkuu wa Nchi ni kama ali iyona WAKA WAKA hivi...kimantiki ni video ya vichupi tu
 
Back
Top Bottom