Kufungiwa nyimbo 2 za Diamond: WCB waishtaki BASATA kwa Makonda..

Kufungiwa nyimbo 2 za Diamond: WCB waishtaki BASATA kwa Makonda..

Sasa bashite ni nani? Kwahiyo Sasa hivi kila jambo likiwakuta WCB nyuma wapo clouds?

Anyway wcb kawaulizeni Vinega ilikuwaje?
WCB wanachafua Brandy yao kwa kumuhusisha Bashite the Criminal kwenye maswala yao.

Meneja wa WCB ni kichwa maji.
 
makonda kawa mkaguz?

eti anakagua nyimbo,huyu si mlokole na anasali kwj aposto Ndegi? Akakague mapambio na si nyimbo za kiduni.
Mkoromije na bongofleva wapi na wapi.

Inshort WCB wameamua kujichafulia brandy yao kumuhusisha huyu zero brain.
 
Naibu wazili alichemka
huwezi fungia nyimbo kabla ya kuwapa wahusika haki ya kusikilizwa
lkn pia nilisiki kisa cha Roma kupigiwa simu hakupokea!
sasa huwezi kumuadhibu mtu kwa kutopokea simu
alipaswa kuitwa hata kwa wito wa magezetini kabla ya adhabu
ilipaswa na yy asikilizwe kwanza kabla ya kuadhibiwa
kwa kifupi katika jicho la sheria adhabu zote ni batili.
Wakudadavuwa ni binti msagaji hana akili ya kupambanua maswala.
 
Back
Top Bottom