machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Nenda YouTube kasearch migosMigos ndo nani?
Wakati ushapita,ila kwa huyu ninaemjua kufungiwa nymbo hzo zilistahli.Nenda YouTube kasearch migos
Kwani sheria inasemaje ya kupinga hayo maamuzi?
sheria inasema ukifungiwa nyimbo yako nenda kalalamike kwa Bashite.
Kila kitu Clouds??too much sasaSasa bashite ni nani? Kwahiyo Sasa hivi kila jambo likiwakuta WCB nyuma wapo clouds?
Anyway wcb kawaulizeni Vinega ilikuwaje?
Mbona za akina Mick Minaj hawazifungii?Ama kweli ukiamua kuashetani usiache na ibada zao,jaman ile video ya nyimbo ya mond na Rick rose hawaoni kama inautovu wa nidhamu.
makonda kawa mkaguz?Ama kweli ukiamua kuashetani usiache na ibada zao,jaman ile video ya nyimbo ya mond na Rick rose hawaoni kama inautovu wa nidhamu.
wanapaswa kukata rufaa BASATA ila sasa huyu mungu-mtu kajitwalia madaraka ,Kwani sheria inasemaje ya kupinga hayo maamuzi?
Naibu wazili alichemkaKwani sheria inasemaje ya kupinga hayo maamuzi?
Ila wewe[emoji38] [emoji16]Tekno miles - Rara
Wiz kid - ojuelegba
Davido - If
Yemi alade - Johnny
Nasty c - NDA
Basataaaaaa fungieni na hizi nyimbo...
[emoji2] [emoji23] [emoji119]
Usijali makonda atawafunguliaKwani sheria inasemaje ya kupinga hayo maamuzi?