Salaam meneja wa diamond nilikuwa namuona mjanja ila sasa hvi naona kama kajaa uswahili flani wa kidwanziKila kitu Clouds??too much sasa
Taasisi ya BashiteSijakuelewa waende taaaisi gani?
WCB wanachafua Brandy yao kwa kumuhusisha Bashite the Criminal kwenye maswala yao.Sasa bashite ni nani? Kwahiyo Sasa hivi kila jambo likiwakuta WCB nyuma wapo clouds?
Anyway wcb kawaulizeni Vinega ilikuwaje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]hii statement yake iliacha hoi kweli kweli wakati lulu amehukumiwa kifungo jela.
Mkoromije na bongofleva wapi na wapi.makonda kawa mkaguz?
eti anakagua nyimbo,huyu si mlokole na anasali kwj aposto Ndegi? Akakague mapambio na si nyimbo za kiduni.
Wakudadavuwa ni binti msagaji hana akili ya kupambanua maswala.Naibu wazili alichemka
huwezi fungia nyimbo kabla ya kuwapa wahusika haki ya kusikilizwa
lkn pia nilisiki kisa cha Roma kupigiwa simu hakupokea!
sasa huwezi kumuadhibu mtu kwa kutopokea simu
alipaswa kuitwa hata kwa wito wa magezetini kabla ya adhabu
ilipaswa na yy asikilizwe kwanza kabla ya kuadhibiwa
kwa kifupi katika jicho la sheria adhabu zote ni batili.
Aseeee kwani makonda katoa kauli yoyote?au bora mradi umesemawanapaswa kukata rufaa BASATA ila sasa huyu mungu-mtu kajitwalia madaraka ,
Uzuri wake Ruge huwa hapigi kelele!Kila kitu Clouds??too much sasa