habar wana jamii wenzangu habar za wakati huu...
ninaomba msaada nimetoka kumaliza chuo kikuu mwaka jana lakini maisha ya hajira naona bila bila
msaada wenu nataka kufungua kampuni ya usafi kwa mwenye ufahamu wa jambo hili tafadhar naomba muongozo na utarayibu mzima
nipo DAR ES SALAAM na ntafungulia hapa hapa
naamini wengine watapata faida kwa wenye mawazo kama yangu
Ahsanteni