Kufungua kampuni ya usafi

Kufungua kampuni ya usafi

chikha

Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
12
Reaction score
11
Habari wana jamii wenzangu habari za wakati huu...

Ninaomba msaada nimetoka kumaliza chuo kikuu mwaka jana lakini maisha ya ajira naona bila bila

Msaada wenu nataka kufungua kampuni ya usafi kwa mwenye ufahamu wa jambo hili tafadhari naomba muongozo na utaratibu mzima

Nipo DAR ES SALAAM na ntafungulia hapa hapa

Naamini wengine watapata faida kwa wenye mawazo kama yangu

Ahsanteni
 
habar wana jamii wenzangu habar za wakati huu...

ninaomba msaada nimetoka kumaliza chuo kikuu mwaka jana lakini maisha ya hajira naona bila bila

msaada wenu nataka kufungua kampuni ya usafi kwa mwenye ufahamu wa jambo hili tafadhar naomba muongozo na utarayibu mzima

nipo DAR ES SALAAM na ntafungulia hapa hapa

naamini wengine watapata faida kwa wenye mawazo kama yangu

Ahsanteni
Ajira ni ngumu sana.

Na wazo lako ni zuri

Mungu Akutangulie [emoji1545]
 
Tafuta jina la kampuni......ingia brella sajili kampuni.....kula vichwa
 
Back
Top Bottom