chikha
Member
- Dec 26, 2014
- 12
- 11
Habari wana jamii wenzangu habari za wakati huu...
Ninaomba msaada nimetoka kumaliza chuo kikuu mwaka jana lakini maisha ya ajira naona bila bila
Msaada wenu nataka kufungua kampuni ya usafi kwa mwenye ufahamu wa jambo hili tafadhari naomba muongozo na utaratibu mzima
Nipo DAR ES SALAAM na ntafungulia hapa hapa
Naamini wengine watapata faida kwa wenye mawazo kama yangu
Ahsanteni