Kufungua kampuni ya utalii

Uunajua jinsi ya kutangaza website ya utalii
 
Unajua njia ya kutangaz websit ili upate watalii kama unaweza njoo inbox kuna ela ya soda
 
Asante sana kwa maelezo yako. Na je, kwenye swala la accomodation, hizi hotel kuna rates maalumu wanatoa kwa kampuni za utalii zinazowaletea wageni au gharama ni zile zile walizoweka kwenye tovuti zao?
 
Gharama ni zilezile tu, sema end of season wanatowa commission kwa kiasi gani ulileta wageni.

Sasa hapa kwa kampuni zenye wateja wengi hili ndio deal la oparesheni manager anayewafanyia booking December anavuta mpunga mzuri tu, maana kwenye system anaonekana ni nani alifanya booking ngapi kwa season nzima.
 
Na hii ishu ya Tourism Business Licence (TALA), ni kwaajiri ya gari la safari au inalipiwa hata kama hauna gari yako binafsi? Na gharama yake ipoje?
 
Na hii ishu ya Tourism Business Licence (TALA), ni kwaajiri ya gari la safari au inalipiwa hata kama hauna gari yako binafsi? Na gharama yake ipoje?
Sina hakika na hili lakini kampuni unazokodi magari wao tayari wana hizi taxies wanalipia.
 
Asa utakuwa unawabeba mgongoni hao watalii ama vipi?
πŸ˜πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ƒNiko Hapa Moshi Anipe Kazi Ya Kubeba Mgongoni
Sasa Watalii Wanapelekwa Manyara, Serengeti, Tarangire, Kinapa, Anapa, Mkomazi. Kote Lazima Uwe Na Usafiri Wako Mzuri Land C Hard Top Chuma Mtupu
 
TALA na Leseni zingine kwa sasa ni bei gani?
 
Am interested with topic let me undergo some research to see if I can dive in this business in future.
 
Bora umgetulia tu usubiri majibu ili na wewe ujifunze, ingekusaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…