Mkuu wa
Wasikukatishe tamaa .Kuna vitu vya kuzingatia roughly
Hakikisha una lesseni ya biashara
Umesajiriwa na BRELA
Ukate TALA
Na vizuri for marketing purporses uwe member wa TATO (Tanzania Assosiation of Tour Operators) kama unataka kuwa Tour operator
Kuhusu kuanzisha bila gari inawezekana kabisa ,Ila lazima utafute watu wenye magari uingie nao mkataba unachagausha activity base ya kuweka rate yako (may be KIA-Arusha,KIA-Marangu,....) halafu mna-sign hiyo rate kwa msimu ili wasikunzugushe na unaweka na terms akichelewa kuchukua wageni wako.Then kila mwisho wa week unaanda pick-ups zako zote ,timings, flight#, na arrival time ,na Mabango ya majina ya kupokelea.
Kuhusu kwenda porini unakodi magari na dereva ,unabaki unatoa mpishi na chakula
Mimi nilifanya kazi na African walking Company ni kampuni kubwa sana na wana wageni nadhani now wanafikia 9000-11000 kwa msimu ,ila hawana gari hata moja.
Biashara hii inahitaji intensive marketing especially kuhudhuria tourism exhibitions ili utengeneze network