Siku hizi wanawekeza kweli. Kuna online media zinasajili watangazaji kutokea electronic media.Zipo nyingi ila watu hawajawekeza serious, ukiweka mzigo kama alionao jamaa hapo juu unatoboa, una vijana wako kibao wa habari, unaajiri vijana wa kuandaa makala zako japo kila week,
Lazima utoboe mzee
Kwa mujibu wa sheria taarifa ya habari ni lazima kwa kila chombo vha habari mainstream (Radio, TV)Natamani sana kama hili nitalifanikisha, kuwepo vipindi vya vijana na ujasiriamali,mambo ya uvumbuzi, mijadala ya vijana kuhusu ukuaji, wkend nyimbo za injili na za kiafrika; mambo ya habari na siasa yanakuwa hayapo.
Kwa mazingira hayo nitakuwa naingiza maokoto kweli?
Uje nikufanyia Business Proposal and cost analysis laa sivyo uziwaze usivyovijuaHabari za jioni wakuu?
Kufungua kituo cha redio, ni vitu gani vinahitajika, na kinaweza kugharimu kiasi gani?
Ni kweli, lakin uzuri wa Online media chance za kufanikiwa ni kubwa, pia hazina mambo mengi sana kama hizi za live, kama una 50M bank wekeza kwenye online media, ndani ya mwaka utaanza kupata faida ya kuanzia, kina swahili times wapo vizuri unaweza jifunza kwaoSiku hizi wanawekeza kweli. Kuna online media zinasajili watangazaji kutokea electronic media.
Kwa uzoefu wangu ili upate Vijana wa hiyo tasnia ebu jilink na vyuo vya uandishi wa Habari.Kwa hiyo ukimchangia kama 150,000/= inaweza kumtosha kabisa kwa kuanzia?
Kuna kanisa moja lilifungwa hapa kwetu lilikuwa na kituo chake cha redio wakauza vifaa vyote kwa $20,000 (obo) kasoro jengo tu. Nilitaka kuvununua kwa $17,500 lakini nilipoulizia hapa kuhuse faida za biashara hiyo nikakatishwa tamaaYaani unatumia Tsh 50,000,000+ ili wenzio ambao hata huwajui wasikilize bure redio na wengine labda kutangaza biashara zao kwa malipo kiduchu huku ukiajiri wataalam/watangazaji? Hii kitu haina utofauti sana na kubet.
Endapo gharama ikiwa kubwa ni lazma iwe kubwa but unaweza ukaanza online media ambapo unanunua u tube channel yny subscribes wengi then unaanzia huko huku ukipima upepo wa radio.Habari za jioni wakuu?
Kufungua kituo cha redio, ni vitu gani vinahitajika, na kinaweza kugharimu kiasi gani?
Kazi nyingi kuanzisha maradio ya watu. Nilipoonq thread nikaona mtu kanitaja ndo kuanza kutafuta "pasuwedi" mwisho nikaweza kuingia.Ahsante mkuu kwa kuja! Last seen yako ilikuwa inaonesha ni 2022 nikajua hata nikikukwoti hutakuja lakini hatimaye umekuja kutoa ufafanuzi.
Mkuu naomba mawasiliano yako whatsapp nikutumie muongozo 100% kuanzia A-Z.Habari za jioni wakuu?
Kufungua kituo cha redio, ni vitu gani vinahitajika, na kinaweza kugharimu kiasi gani
Kwamba walikuwa wakiuza vifaa vyote kwa bei gani na wewe ulitaka kuvinunua kwa bei gani? Sijakuelewa.Kuna kanisa moja lilifungwa hapa kwetu lilikuwa na kituo chake cha redio wakauza vifaa vyote kwa $20,000 (obo) kasoro jengo tu. Nilitaka kuvununua kwa 417,500 lakini nilipoulizia hapa kuhuse faida za biashara hiyo nikakatishwa tamaa
Nilitaka kununua kwa $17,500 (ile alama ya $ haikuonekana, badala yake ikajitokeza kama 4 kwenye keyboards za kimarekani). Bei ilikuwa ni $20,000 (or Best offer). Havikupata mnunuzi kwa karibu wiki tatu na nilikuwa nataka kutoa offer ya $17,500.Kwamba walikuwa wakiuza vifaa vyote kwa bei gani na wewe ulitaka kuvinunua kwa bei gani? Sijakuelewa.
Anavuta Moshi wa bangi akiwa chooni huyo hvy sio mzima kichwaniKwamba walikuwa wakiuza vifaa vyote kwa bei gani na wewe ulitaka kuvinunua kwa bei gani? Sijakuelewa.
Pipa kama pipaNilishawahi kufungua kituo cha radio and the day nikamuuzia mwamposa kama upo serious njoo pm nakupa info zote na kuku conect na wahusika kuanzia vifaa mafundi, usajili nakila kitu we ni kusubir tu uisikilize uje serious sio unakuja kuulizia tu kama kuuliza tuu endelea kusubili wahusika wanakuja watakujibu
Anavuta Moshi wa bangi akiwa chooni huyo hvy sio mzima kichwani
No Mkuu. They do not always win. Only sometimes.risk takers always win
Ebu toka hapa 🤣🤣🤣Mil 15 ukitaka isikike ngazi ya kata.