Kufungua kituo cha radio kinagharimu kiasi gani?

Hiyo inahusu vifaa tu, au mpaka jengo?
Vifaa tu. Jengo pekee si linaweza kuwa hata milioni 500 kitu ambacho studio nyingi hawana.
Dar es salaam tu studio zenye majengo yao hazifiki 10 ndio maana hata design ya studio ni mbovu maana jengo halikuwa kwa matumizi ya studio.

Nimewahi kufika studio fulani mkoani ilikuwa kama nyumba ya mtu tu. Vyumba vilikuwa vidogo tu ambavyo ni
1. Mapokezi
2. Production room
3. News room
4. Studio
5. Ofisi ya meneja
 
Duh! Aisee;
Quote: Nimewahi kufika studio fulani mkoani ilikuwa kama nyumba ya mtu tu. Vyumba vilikuwa vidogo tu ambavyo ni ......." kwa hali ya kawaida, Nyumba ya mtu (self contained) iko hivi:-
1. Mapokezi = Sebuleni
2. Production room = Room na. 1 Chumba cha kulala watoto
3. News room = Room Na. 2 Chumba cha wageni au akiba kwa dharura.
4. Studio = Inside public toilet na store room
5. Ofisi ya meneja = Master bedroom.
Mapungufu sijui kama uliyaona:
1. Hakuna chumba cha kungojelea (waiting room)
2. Hakuna Ukumbi wa kujiandaa na uwepo wa nafasi ya kujipanua baadaye - future extensions.
Studio kama hiyo ningemshauri mdau alenge iliyo bora zaidi au yenye walau hadhi ya kati kama bado amedhamiria kutekeleza azma hiyo.
 
Duh! Aisee;
Quote: " kwa hali ya kawaida, Nyumba ya mtu (self contained) iko hivi:-
1. Mapokezi = Sebuleni
2. Production room = Room na. 1 Chumba cha kulala watoto
3. News room = Room Na. 2 Chumba cha wageni au akiba kwa dharura.
4. Studio = Inside public toilet na store room
5. Ofisi ya meneja = Master bedroom.
Mapungufu sijui kama uliyaona:
1. Hakuna chumba cha kungojelea (waiting room)
2. Hakuna Ukumbi wa kujiandaa na uwepo wa nafasi ya kujipanua baadaye - future extensions.
Studio kama hiyo ningemshauri mdau alenge iliyo bora zaidi au yenye walau hadhi ya kati kama bado amedhamiria kutekeleza azma hiyo.
Hiyo ilikuwa miaka ya 2014 kama sikosei.
Meneja wa radio tu alikuwa
1. Meneja wa kituo
2. Mtangazaji
3. Mwandishi wa habari na anazunguka kutafuta habari
4. Anatengeneza matangazo na anaingiza sauti yake.
Ukienda studio muda wowote unakuta yupo anapiga kz.
 
Sana mkuu
Natamani sana kama hili nitalifanikisha, kuwepo vipindi vya vijana na ujasiriamali,mambo ya uvumbuzi, mijadala ya vijana kuhusu ukuaji, wkend nyimbo za injili na za kiafrika; mambo ya habari na siasa yanakuwa hayapo.
Kwa mazingira hayo nitakuwa naingiza maokoto kweli?​
 
Sijajua vizuri upatikanaji wa maokoto upoje kwa upande huo ila utapata tu mkuu. Wajuzi watakujuza zaidi kuhusu maokoto.
 
Mkuu, kwa sasa kama una hela wekeza kwenye online Media, hio ndio ina hela, wekaza kwenye website yako, YouTube, insta na twiter, na ndio zenye nguvu, pia bado watu hawajaweka nguvu kubwa
mtoa mada atembee na ushauri huu hapa awekeze kwenye vitaa apate presenter wazuri kwisha kazi
 
Hiyo ilikuwa miaka ya 2014 kama sikosei.
Meneja wa radio tu alikuwa
1. Meneja wa kituo
2. Mtangazaji
3. Mwandishi wa habari na anazunguka kutafuta habari
4. Anatengeneza matangazo na anaingiza sauti yake.
Ukienda studio muda wowote unakuta yupo anapiga kz.
safi sana
huu ndio mwanzo wa founders wengi sana
 
Natamani sana kama hili nitalifanikisha, kuwepo vipindi vya vijana na ujasiriamali,mambo ya uvumbuzi, mijadala ya vijana kuhusu ukuaji, wkend nyimbo za injili na za kiafrika; mambo ya habari na siasa yanakuwa hayapo.
Kwa mazingira hayo nitakuwa naingiza maokoto kweli?​
usisahau umbea na sports
 
Back
Top Bottom