Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa tu. Jengo pekee si linaweza kuwa hata milioni 500 kitu ambacho studio nyingi hawana.Hiyo inahusu vifaa tu, au mpaka jengo?
Duh! Aisee;Vifaa tu. Jengo pekee si linaweza kuwa hata milioni 500 kitu ambacho studio nyingi hawana.
Dar es salaam tu studio zenye majengo yao hazifiki 10 ndio maana hata design ya studio ni mbovu maana jengo halikuwa kwa matumizi ya studio.
Nimewahi kufika studio fulani mkoani ilikuwa kama nyumba ya mtu tu. Vyumba vilikuwa vidogo tu ambavyo ni
1. Mapokezi
2. Production room
3. News room
4. Studio
5. Ofisi ya meneja
Hiyo ilikuwa miaka ya 2014 kama sikosei.Duh! Aisee;
Quote: " kwa hali ya kawaida, Nyumba ya mtu (self contained) iko hivi:-
1. Mapokezi = Sebuleni
2. Production room = Room na. 1 Chumba cha kulala watoto
3. News room = Room Na. 2 Chumba cha wageni au akiba kwa dharura.
4. Studio = Inside public toilet na store room
5. Ofisi ya meneja = Master bedroom.
Mapungufu sijui kama uliyaona:
1. Hakuna chumba cha kungojelea (waiting room)
2. Hakuna Ukumbi wa kujiandaa na uwepo wa nafasi ya kujipanua baadaye - future extensions.
Studio kama hiyo ningemshauri mdau alenge iliyo bora zaidi au yenye walau hadhi ya kati kama bado amedhamiria kutekeleza azma hiyo.
Sana mkuuKusikiliza redio ni muhimu
Sana mkuu
Sijajua vizuri upatikanaji wa maokoto upoje kwa upande huo ila utapata tu mkuu. Wajuzi watakujuza zaidi kuhusu maokoto.Natamani sana kama hili nitalifanikisha, kuwepo vipindi vya vijana na ujasiriamali,mambo ya uvumbuzi, mijadala ya vijana kuhusu ukuaji, wkend nyimbo za injili na za kiafrika; mambo ya habari na siasa yanakuwa hayapo.
Kwa mazingira hayo nitakuwa naingiza maokoto kweli?
AminLazima nije nifungue Radio na TV.
Matangazo yakiwa mengi ,ndio maokoto yanaongezekaSijajua vizuri upatikanaji wa maokoto upoje kwa upande huo ila utapata tu mkuu. Wajuzi watakujuza zaidi kuhusu maokoto.
risk takers always winLakini hutakuwa umeamua vizuri na kuvumilia ilhali unajua 75% unaweza kufeli (probability ya kufeli ni kubwa) ukilinganisha na uwezekano wa kufaulu ni mdogo sana. Ila kurisk ndo roho ya wajasiriamali wengi.
mtoa mada atembee na ushauri huu hapa awekeze kwenye vitaa apate presenter wazuri kwisha kaziMkuu, kwa sasa kama una hela wekeza kwenye online Media, hio ndio ina hela, wekaza kwenye website yako, YouTube, insta na twiter, na ndio zenye nguvu, pia bado watu hawajaweka nguvu kubwa
safi sanaHiyo ilikuwa miaka ya 2014 kama sikosei.
Meneja wa radio tu alikuwa
1. Meneja wa kituo
2. Mtangazaji
3. Mwandishi wa habari na anazunguka kutafuta habari
4. Anatengeneza matangazo na anaingiza sauti yake.
Ukienda studio muda wowote unakuta yupo anapiga kz.
usisahau umbea na sportsNatamani sana kama hili nitalifanikisha, kuwepo vipindi vya vijana na ujasiriamali,mambo ya uvumbuzi, mijadala ya vijana kuhusu ukuaji, wkend nyimbo za injili na za kiafrika; mambo ya habari na siasa yanakuwa hayapo.
Kwa mazingira hayo nitakuwa naingiza maokoto kweli?
Utapata tuMatangazo yakiwa mengi ,ndio maokoto yanaongezeka
Ni wazo zuri nimelichukua mkuumtoa mada atembee na ushauri huu hapa awekeze kwenye vitaa apate presenter wazuri kwisha kazi
ukitaka wazoefu karibuNi wazo zuri nimelichukua mkuu
Kwenye sports sawa, ila umbea umbea unaweza kupoteza brandusisahau umbea na sports
Asante, ila nyie si mtataka malipo makubwa wakati kampuni bado changa?ukitaka wazoefu karibu