Kufungua kituo cha radio kinagharimu kiasi gani?

Kufungua kituo cha radio kinagharimu kiasi gani?

nakutumia PM namba ukiweza fanyeni partnership ata work hard sana kuliko salary
Partnership ina changamoto zake hasa kwa sisi black; inawezekana changamoto aliyonayo kwa sasa ni mtaji, akishapata mwanga tu, mnaanza kusumbuana.​
 
tusijifunze kwa walio feli wapo waliofaulu we can learn from them
Waliofaulu ni wachache ukiringanisha na waliofeli; ni bora uingie ubia na kampuni za nje; mfano labda wewe una kampuni J.M complex uingie MoU na kampuni ya nje Eqn enterprise, na majukumu yenu yaainishwe vizuri; hapo mtafika mbali ila kwa huku kwetu, pesa zikianza kuonekana tu, unatafutiwa gap​
 
Nilishawahi kufungua kituo cha radio and the day nikamuuzia mwamposa kama upo serious njoo pm nakupa info zote na kuku conect na wahusika kuanzia vifaa mafundi, usajili nakila kitu we ni kusubir tu uisikilize uje serious sio unakuja kuulizia tu kama kuuliza tuu endelea kusubili wahusika wanakuja watakujibu
We-msengesana
 
Kwa mwezi wanaweza kuhitaji kiasi gani?
Hawa unawaokota bure.

Media kubwa kama EFM, Radio 1, Clouds, nk huwa hawaajiri mtangazaji kutoka chuoni. Hii haimaanishi chuoni hakuna watangazaji wazuri.
Jamaa huwa wanaajiri watangazaji kutoka media nyingine hata kwa kuvunja mikataba kama mchezaji wa mpira.

Sasa huyu mtangazaji mzuri aliyemaliza chuo mwenye ndoto za kufanya kazi clouds inabidi acheze kamari au abeti tuseme, yaani akaombe kazi media ndogo hata kwa kujitolea. Apige kazi vizuri kwa viwango, jamaa wamruhusu kuruka hewani, kisha aonekane na media kubwa achukuliwe hapo mkeka unakuwa umewin.

Kujua kama mkeka umechanika unakuta ulikuwa unamsikia mtangazaji fulani kwenye media ndogo kwa muda mrefu let say 1 or 2 years, halafu baadaye humsikii tena hata media yoyote.

Hapo ujue jamaa alikuwa anajitolea, kaona malengo hayatimii kwa kusajiliwa na media hiyo au nyingine alizokuwa na ndoto nazo, anaona anapoteza muda, anaamua kuacha.
 
Kwa hiyo ukimchangia kama 150,000/= inaweza kumtosha kabisa kwa kuanzia?
 
Waliofaulu ni wachache ukiringanisha na waliofeli; ni bora uingie ubia na kampuni za nje; mfano labda wewe una kampuni J.M complex uingie MoU na kampuni ya nje Eqn enterprise, na majukumu yenu yaainishwe vizuri; hapo mtafika mbali ila kwa huku kwetu, pesa zikianza kuonekana tu, unatafutiwa gap​
unaweza ukawa miongoni mwa hao wachache
 
Mkuu, kwa sasa kama una hela wekeza kwenye online Media, hio ndio ina hela, wekaza kwenye website yako, YouTube, insta na twiter, na ndio zenye nguvu, pia bado watu hawajaweka nguvu kubwa
Hizi online media ziko nyingi kweli kweli. la mtu kama una fedha na mkakati mzuri, unaweza kuweka mtandao mzuri sana. NB: Kuanzisha media yoyote hakuhitaji njaa. Uwe tayari kufanya kazi kwa hasara siku za mwanzoni na inaweza kuchukuwa muda mrefu sana.
 
Kwenye sports sawa, ila umbea umbea unaweza kupoteza brand
Tanzania habari zenye walaji ni hizi habari za umbea, mauaji ya kutisha: video na picha zake, watu wenye magonjwa mabaya na ya kushangaza, ngono za mastaa: picha na video zake, ubishi wa mambo ya mpira. Pia uchawi na uganguzi wake bila kusahau dawa mbadala.
 
Nasikia hiyo biashara ni ngumu sana kwa siku hizi, imeshikiliwa na wazoefu wachache.

Kuna jamaa hapa JF alikuja na mchanganuo kwa radio ngazi ya wilaya alisema hata 50,000,000.
Anaitwa sijui Radio Producer

pitia thread zake utajifunza, nimezipitia.
Asante mkuu,

Huyu member akaribia ofisini ama.dukani kwetu Mlimani Tower Opp na Mlimani City Floor ya 7
 
Asante mkuu,

Huyu member akaribia ofisini ama.dukani kwetu Mlimani Tower Opp na Mlimani City Floor ya 7
Ahsante mkuu kwa kuja! Last seen yako ilikuwa inaonesha ni 2022 nikajua hata nikikukwoti hutakuja lakini hatimaye umekuja kutoa ufafanuzi.
 
Hizi online media ziko nyingi kweli kweli. la mtu kama una fedha na mkakati mzuri, unaweza kuweka mtandao mzuri sana. NB: Kuanzisha media yoyote hakuhitaji njaa. Uwe tayari kufanya kazi kwa hasara siku za mwanzoni na inaweza kuchukuwa muda mrefu sana.
Zipo nyingi ila watu hawajawekeza serious, ukiweka mzigo kama alionao jamaa hapo juu unatoboa, una vijana wako kibao wa habari, unaajiri vijana wa kuandaa makala zako japo kila week,

Lazima utoboe mzee
 
Transmitter, STL,Mixer, microphone, computer, amplifier, EQ, Busta, jumla yake ni 60M jengo,mnara unaweza kukodi, tcra fee kwa kukadiria ni jumla vyoote kwa haraka haraka ni 120M . Maana Kuna vifaa vidogo vidogo kma AC,UPS,INTERNET, FURNITURE ETC. Kuna company ukiwapa 60M Wana install full wanakukabidhi chombo. Ili mraditu uwe na licence na jengo.

Kama upo seriously nicheki nikupe mchanganuo wa kitaalam na kukuombea leseni

Nb kwa DSM huwezi kupata lesen kwa Sasa
 
Back
Top Bottom