Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
wala sio mimi mkuu wapo hadi wakujitoleaAsante, ila nyie si mtataka malipo makubwa wakati kampuni bado changa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala sio mimi mkuu wapo hadi wakujitoleaAsante, ila nyie si mtataka malipo makubwa wakati kampuni bado changa?
Kwa mwezi wanaweza kuhitaji kiasi gani?wala sio mimi mkuu wapo hadi wakujitolea
nakutumia PM namba ukiweza fanyeni partnership ata work hard sana kuliko salaryKwa mwezi wanaweza kuhitaji kiasi gani?
nakutumia PM namba ukiweza fanyeni partnership ata work hard sana kuliko salary
tusijifunze kwa walio feli wapo waliofaulu we can learn from themPartnership ina changamoto zake hasa kwa sisi black; inawezekana changamoto aliyonayo kwa sasa ni mtaji, akishapata mwanga tu, mnaanza kusumbuana.
tusijifunze kwa walio feli wapo waliofaulu we can learn from them
We-msengesanaNilishawahi kufungua kituo cha radio and the day nikamuuzia mwamposa kama upo serious njoo pm nakupa info zote na kuku conect na wahusika kuanzia vifaa mafundi, usajili nakila kitu we ni kusubir tu uisikilize uje serious sio unakuja kuulizia tu kama kuuliza tuu endelea kusubili wahusika wanakuja watakujibu
Hawa unawaokota bure.Kwa mwezi wanaweza kuhitaji kiasi gani?
Kwa hiyo ukimchangia kama 150,000/= inaweza kumtosha kabisa kwa kuanzia?Hawa unawaokota bure.
Media kubwa kama EFM, Radio 1, Clouds, nk huwa hawaajiri mtangazaji kutoka chuoni. Hii haimaanishi chuoni hakuna watangazaji wazuri.
Jamaa huwa wanaajiri watangazaji kutoka media nyingine hata kwa kuvunja mikataba kama mchezaji wa mpira.
Sasa huyu mtangazaji mzuri aliyemaliza chuo mwenye ndoto za kufanya kazi clouds inabidi acheze kamari au abeti tuseme, yaani akaombe kazi media ndogo hata kwa kujitolea. Apige kazi vizuri kwa viwango, jamaa wamruhusu kuruka hewani, kisha aonekane na media kubwa achukuliwe hapo mkeka unakuwa umewin.
Kujua kama mkeka umechanika unakuta ulikuwa unamsikia mtangazaji fulani kwenye media ndogo kwa muda mrefu let say 1 or 2 years, halafu baadaye humsikii tena hata media yoyote.
Hapo ujue jamaa alikuwa anajitolea, kaona malengo hayatimii kwa kusajiliwa na media hiyo au nyingine alizokuwa na ndoto nazo, anaona anapoteza muda, anaamua kuacha.
unaweza ukawa miongoni mwa hao wachacheWaliofaulu ni wachache ukiringanisha na waliofeli; ni bora uingie ubia na kampuni za nje; mfano labda wewe una kampuni J.M complex uingie MoU na kampuni ya nje Eqn enterprise, na majukumu yenu yaainishwe vizuri; hapo mtafika mbali ila kwa huku kwetu, pesa zikianza kuonekana tu, unatafutiwa gap
Na kwa nini wengine wana radio station?Kila la kheri.
Kwanini Millard Ayo hana Redio station? Unafikiri hana uwezo wa kufungua?
Hizi online media ziko nyingi kweli kweli. la mtu kama una fedha na mkakati mzuri, unaweza kuweka mtandao mzuri sana. NB: Kuanzisha media yoyote hakuhitaji njaa. Uwe tayari kufanya kazi kwa hasara siku za mwanzoni na inaweza kuchukuwa muda mrefu sana.Mkuu, kwa sasa kama una hela wekeza kwenye online Media, hio ndio ina hela, wekaza kwenye website yako, YouTube, insta na twiter, na ndio zenye nguvu, pia bado watu hawajaweka nguvu kubwa
Tanzania habari zenye walaji ni hizi habari za umbea, mauaji ya kutisha: video na picha zake, watu wenye magonjwa mabaya na ya kushangaza, ngono za mastaa: picha na video zake, ubishi wa mambo ya mpira. Pia uchawi na uganguzi wake bila kusahau dawa mbadala.Kwenye sports sawa, ila umbea umbea unaweza kupoteza brand
Asante mkuu,Nasikia hiyo biashara ni ngumu sana kwa siku hizi, imeshikiliwa na wazoefu wachache.
Kuna jamaa hapa JF alikuja na mchanganuo kwa radio ngazi ya wilaya alisema hata 50,000,000.
Anaitwa sijui Radio Producer
pitia thread zake utajifunza, nimezipitia.
kwa hawa wachanga wanaotaka kuonekana na kugain experience inawatosha.Kwa hiyo ukimchangia kama 150,000/= inaweza kumtosha kabisa kwa kuanzia?
Ahsante mkuu kwa kuja! Last seen yako ilikuwa inaonesha ni 2022 nikajua hata nikikukwoti hutakuja lakini hatimaye umekuja kutoa ufafanuzi.Asante mkuu,
Huyu member akaribia ofisini ama.dukani kwetu Mlimani Tower Opp na Mlimani City Floor ya 7
Zipo nyingi ila watu hawajawekeza serious, ukiweka mzigo kama alionao jamaa hapo juu unatoboa, una vijana wako kibao wa habari, unaajiri vijana wa kuandaa makala zako japo kila week,Hizi online media ziko nyingi kweli kweli. la mtu kama una fedha na mkakati mzuri, unaweza kuweka mtandao mzuri sana. NB: Kuanzisha media yoyote hakuhitaji njaa. Uwe tayari kufanya kazi kwa hasara siku za mwanzoni na inaweza kuchukuwa muda mrefu sana.