Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,957
- 1,431
...... Ya hovyo..!!Nchi imekuwa na mambo mengi

Huu ni ujinga huo huo unaoukemea.Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Kwa hiyo mnataka kuanza ugaidi wenu kisa tu kanisa limefunguliwa mkuu? Kuna sababu yoyote ya msingi iliyopelekea kanisa la Gwajima kufungwa?Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Tukutane 2030..tutafanya kama mnavyofanya sasa.Kwa hiyo mnataka kuanza ugaidi wenu kisa tu kanisa limefunguliwa mkuu? Kuna sababu yoyote ya msingi iliyopelekea kanisa la Gwajima kufungwa?
Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
....Rudia, Uhuru wa Kuabudu ni HAKI ya Kikatiba....Sasa Serikali inashindwaje kumkamata wanayeona kuwa ni Mhalifu Mchungaji Gwajima, na wakayaacha Makanisa yake wazi ili Waumini waendelee na Uhuru Wao wa Kikatiba wa Kuabudu ?Makanisa hayakutakiwa kufungiwa in the first place.
Kwa sababu uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na kibinadamu.
Acha kuniletea siasa za pipi na biskuti....Rudia, Uhuru wa Kuabudu ni HAKI ya Kikatiba....Sasa Serikali inashindwaje kumkamata wanayeona kuwa ni Mhalifu Mchungaji Gwajima, na wakayaacha Makanisa yake wazi ili Waumini waendelee na Uhuru Wao wa Kikatiba wa Kuabudu ?
Kosa lao ni Nini ?
Kufungia KANISA lake ndio Kukomoana Kwa yeye kusema kile anachoamini ?
Sijasema uhuru wa kuabudu si haki ya kikatiba. Kimsingi nalaani serikali yoyote inayoingilia uhuru wa kuabudu.....Rudia, Uhuru wa Kuabudu ni HAKI ya Kikatiba....Sasa Serikali inashindwaje kumkamata wanayeona kuwa ni Mhalifu Mchungaji Gwajima, na wakayaacha Makanisa yake wazi ili Waumini waendelee na Uhuru Wao wa Kikatiba wa Kuabudu ?
Kosa lao ni Nini ?
Kufungia KANISA lake ndio Kukomoana Kwa yeye kusema kile anachoamini ?
he is actually!Una Sound kama lipumbavu liliokalia nyama ngumu
Wakati wa Mungu ukifuka yatafunguliwa tu.Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
😁😁😁 imani imekita na kukolea moyoniWakati wa Mungu ukifuka yatafunguliwa tu.