Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
Tunahitaji watu WENGI zaidi wenye uthibutu TUMECHOKA
 
Nina kilo tatu za kitimoto bwana ustadhi, unateseka ukiwa wapi?
Akili huna...
 
Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
Wew ndio unaleta udini hapo tena inaonekana ww utakuwa ni Muslim.

1.Ipi hatari ya kufunguliwa kwa makanisa ya gwajima!.
2. yapi ni makosa ya waamini wa kanisa la ufufuo na uzima?

#freed _of_worship
#freelissu
#free ufufuo_na_uzima
#Kataawahuni
 
Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
Haa 😀..

Mtu mwenyewe kumbe unaitwa ustadhijuma, itikikadi kali, wazee wa majini na kujilipua...!!???

Aah, tumekuelewa bhana, nyie wenye majina haya siku zote akili na reasoning yenu huwa iko chini sana, hustahili hata kujibiwa kistaarabu wewe😅
 
Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
Mkuu ustaadhi tafadhali jibu hoja za msingi za Askofu Gwajima. Acha uchawa ubwabwa! Hata wewe!!
 
aisee comment nyingi zinadharau hii tahadhari lakini ukifanya analysis ya haraka haraka utagundua kuna shida inakuja mbele kama manahodha hawatayaendea haya mambo kwa tahadhari.

Uelewa wa Watanzania weeengi ni mdogo na mambo ya imani hatari sana hasa kwa watu walio serious masuala ya Dini.
Kumekuwa na malalamiko ya waislamu dhidi ya pressure kubwa kutoka kwa taasisi za Dini ya kikristo linapofika suala la Rais kuwa Muislamu, hili vuguvugu lilianzia awamu ya nne na sasa naliona linashika Kasi hasa Mama anavyopigwa pressure kutoka upande ambao sio wa Dini yake.
Tafsiri ya waislamu ni vita dhidi ya Uislamu na waislamu Tanzania sio vinginevyo - NIMEWEKA TAHADHARI TUNAVYOYAENDEA HAYA MAMBO NA MWISHO WAKE TUSIPO TUMIA AKILI.
Nimesoma hata baadhi ya comment humu zinasema JK anachukiwa kwasababu ya Dini yake yaani shida sio Jk Shida ni dini.

Gwajima na HP tawala uliopita walikuwa viongozi mmoja Mbunge na mwingine kiongozi wa chama na Serikali, matatizo wanayoyalalamikia Leo yalikuwepo jana wakiwa viongozi tena na uwezo wa kuyabadirisha yaliyopo lakini hawakufanya, kwanini Leo?..

Mwenyezi Mungu atusaidie Busara zituongoze.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Ila waislamu hata wapagani nao wataanza kuwashangaa akili zenu.
 
Haya makanisa yote ya matapeli yaliofunguliwa kuwanyonya wahanga aka kondoo yakabidhiwe kwa wakatoliki, wasabato, na mengine yanayo Julikana
 
Kitendo cha kumfungulia Gwajima kwa sababu tu ametoa mkwara kwa serikali, tafsiri yake ni kwamba hata akiamua kugeuza misikiti kuwa Sunday School hakuna wa kumzuia, kwa kuwa yeye ni “untouchable”.

Mabomu ndiyo yatakuwa suluhisho la hili... andaeni makaburi ya kutosha.

Na nikiwapoteza wengi ndio idadi ya mabikra itakavyoongezeka huko peponi kutoka 72 mpaka 1000 na ushei. Wakati wa kuogopa haupo tena, serikali ijichanganye ione.
Umeshiba tende zako mwenyewe na nyama za waturuki unacheua tu
 
Huyo ndo usalama wa taifa sasa hivi kwa kumuangalia kwa macho tu gwajima anamiliki ata magazine ya ak47 hata moja mbona vitu hivi havina msingi mmekoswa mision za kufanyaendelea kufungua zile ngombe zitafute kazi zifanye zisitawanye mavi na mikojo na umasikini
 
Back
Top Bottom