Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
Gwajima anahoja,asikilizwe!
 
Samahani Wewe ni mtu mjinga kosa la Gwajima ni lipo? Kusema watu wanatekwa au nitajie kosa la Gwajima hapa
 
Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
Acheni upumbavu, nyie mmezuiwa kuabudu? Unaona Raha wenzio kupigwa Kila siku sababu wanatafuta apa kuabudia?
 
Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
Gwajima aitishe serikali? my foot anaota ndoto
 
who is gwajima. Tumeshamsahau. Afterall no one is above the law
 
Huna hoja,upuuzwe tuu!
Kitendo cha kumfungulia Gwajima kwa sababu tu ametoa mkwara kwa serikali, tafsiri yake ni kwamba hata akiamua kugeuza misikiti kuwa Sunday School hakuna wa kumzuia, kwa kuwa yeye ni “untouchable”.

Mabomu ndiyo yatakuwa suluhisho la hili... andaeni makaburi ya kutosha.

Na nikiwapoteza wengi ndio idadi ya mabikra itakavyoongezeka huko peponi kutoka 72 mpaka 1000 na ushei. Wakati wa kuogopa haupo tena, serikali ijichanganye ione.
 
Gwajima alisema hakubaliani na UTEKAJI

Na akasema ana orodha ya watu 83 waliopotea kwa kutekwa na hawajulikani walipo

Kitu cha ajabu lilienda kufungwa kanisa lake.

Sasa swali la msingi ni kuwa je hao watu kawateka Gwajima hadi aonekane ni hatari hadi kufungiwa kanisa?

Kama sio hivyo je mtekaji/watekaji na Gwajima nani ni hatari anayepaswa kutafutwa kwa kuhatarisha usalama na maisha ya watanzania?
 
Back
Top Bottom