Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
aisee comment nyingi zinadharau hii tahadhari lakini ukifanya analysis ya haraka haraka utagundua kuna shida inakuja mbele kama manahodha hawatayaendea haya mambo kwa tahadhari.
Uelewa wa Watanzania weeengi ni mdogo na mambo ya imani hatari sana hasa kwa watu walio serious masuala ya Dini.
Kumekuwa na malalamiko ya waislamu dhidi ya pressure kubwa kutoka kwa taasisi za Dini ya kikristo linapofika suala la Rais kuwa Muislamu, hili vuguvugu lilianzia awamu ya nne na sasa naliona linashika Kasi hasa Mama anavyopigwa pressure kutoka upande ambao sio wa Dini yake.
Tafsiri ya waislamu ni vita dhidi ya Uislamu na waislamu Tanzania sio vinginevyo - NIMEWEKA TAHADHARI TUNAVYOYAENDEA HAYA MAMBO NA MWISHO WAKE TUSIPO TUMIA AKILI.
Nimesoma hata baadhi ya comment humu zinasema JK anachukiwa kwasababu ya Dini yake yaani shida sio Jk Shida ni dini.
Gwajima na HP tawala uliopita walikuwa viongozi mmoja Mbunge na mwingine kiongozi wa chama na Serikali, matatizo wanayoyalalamikia Leo yalikuwepo jana wakiwa viongozi tena na uwezo wa kuyabadirisha yaliyopo lakini hawakufanya, kwanini Leo?..
Mwenyezi Mungu atusaidie Busara zituongoze.
Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.