Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

Huu ni ujinga huo huo unaoukemea.
Gwajima anatishia kumwaga mchele na wewe unatishia kutokea ya Somalia Afghanistan na Sudan.....

HOVYO KABISA.
 
Kwa hiyo mnataka kuanza ugaidi wenu kisa tu kanisa limefunguliwa mkuu? Kuna sababu yoyote ya msingi iliyopelekea kanisa la Gwajima kufungwa?
 
Makanisa hayakutakiwa kufungiwa in the first place.

Kwa sababu uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na kibinadamu.
....Rudia, Uhuru wa Kuabudu ni HAKI ya Kikatiba....Sasa Serikali inashindwaje kumkamata wanayeona kuwa ni Mhalifu Mchungaji Gwajima, na wakayaacha Makanisa yake wazi ili Waumini waendelee na Uhuru Wao wa Kikatiba wa Kuabudu ?
Kosa lao ni Nini ?

Kufungia KANISA lake ndio Kukomoana Kwa yeye kusema kile anachoamini ?
 
Acha kuniletea siasa za pipi na biskuti
 
Sijasema uhuru wa kuabudu si haki ya kikatiba. Kimsingi nalaani serikali yoyote inayoingilia uhuru wa kuabudu.

I am on record saying that.

Kagame alivyotaka kuweka sheria za kutaka wachungaji wawe na degree, nililaani nia hiyo, kwa sababu inaingilia uhuru wa kuabudu.

Serikali haina haki ya kuingilia uhuru wa kuabudu. Wamarekani wana mpaka First Amendment inakataza Bunge lao kutunga sheria zinazoweza kuingilia uhuru wa kuabudu. So I do understand this.

Lakini, hilo haliamaanishi kuwa Mungu yupo na tukimuomba atatusaidia.

Both these things can be true and thinking they can't is a false dichotomy logical fallacy.
 
Wakati wa Mungu ukifuka yatafunguliwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…