Kufungulia Nchi? Kurudi Kujivunia Umaskini?

Miradi mingi itabakia kwenye maandishi tu na itasahaulika kabisa.
 
Dikteta magufuli ashakufa, muacheni mama afanye kazi, uko kufokafoka Kama kichaa mama sio haiba yake,, wasukuma msimpangie mama cha kufanya, nendeni chattle mkafagie nyumba ya mungu wenu ambae ameondoka na akili zenu
 
Wanao sapoti matusi ya mwendazake wamefirisika kisiasa
 
Jiwe aliacha lini kuomba omba

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
1. Huogopi kuitwa MATAGA?

2. Wewe ni Sukuma Gang!

3. Utaambiwa unamchukia Mama [emoji1787].

4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
Huyu mleta mada hataki kukubali kama dikiteta wake hayupo tena.

(alisikika taahira mmoja toka mitaa ya ufipa)
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maanake ...Nani hamjui .
1. Huogopi kuitwa MATAGA?

2. Wewe ni Sukuma Gang!

3. Utaambiwa unamchukia Mama 🤣.

4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
 
Labda tupate tafsiri pana ya kufungulia nchi wewe umeielewaje.
Kwani nchi ilifungwa sasa inafunguliwa? Mwekezaji asiyetaka kufuata sheria za nchi au asiyetaka kulipa kodi, na anapokuja anakuja na wafanyakazi wake kutoke nje ya nchi hatumtaki!! Lebo ya kuwa "mwekezaji" haina maana serikali imtetemekee. China walipofungulia wawekezaji walikuwa na sharti kubwa sana kuwa aajiri wachina tu, na hata kama hawajui kazi lazima wafundishwe; hao waliofundishwa ndio waliokwapua teknoloji ya magharibi wakaanazisha viwanda vyao wenyewe.
 
Kama ipi mbona na wewe unasifia bila maana yoyote
Siku hamsini zina matokeo.kweli au ni umbea tu
 
Huyu mwanakijiji ni mnafiki Sana na kama hamjamuelewa sasa hivi mtamuelewa hapo mbeleni huyu kwa mheshimiwa Maghufuli hukuwahi kukosoa kisa ni kanda mja kaka huyu mama ameanza na vibandiko uchwara utadhani nchi ilikuwa haikopi
 
Sihangaiki na habari za jiwe maana sioni faida yake na hata kutaja jina lake.
 
Ni lini tuliacha kuomba ?

Unaposema mama hawezi kufoka, kwahiyo kufoka ndio kuendesha nchi !

Hivi ninyi watu Magu aliwapa nini aisee ???

Brain washing is real guys ?

Kwahiyo Tanzania ya Samia siyo Magufuli tena?


Wewe mzee umekuwa mwehu kabisa.
 
Kati ya Magufuli na Samia ni nani aliekua anawasababishia watanzania umasikini?
Watu wengine biashara zao wanategemea wageni kuja !sasa kama kwenye biashara kuna sheria kali na vitisho lazima watakula
Kona na watu huku tanzania watakuwa wana lia njaa

Ova
 
Du chuki yako kwa Samia inakutoa ufahamu Mkuu..
 
JPM alikuwa na attitude mbaya kwa biashara na wafanyabiashara kwa ujumla wao.

Tukubali tukatae, hayati alishindwa kabisa kuenda sambamba na dunia ya biashara na uwekezaji.

Alijitahidi kujenga miundo mbinu rafiki kwa biashara kubwa lakini mentality yake haikuwa rafiki wa kweli wa kile alichokusudia kuona kinafanyika miaka mingi ijayo.

Mama analeta uwekezaji na wakati huo huo anatumia vizuri kipaji chake cha mawasiliano kwa ajili ya kuwepo uhusiano mwema kati ya serikali na sekta ya biashara.

Anao mtihani wa kuwa ni Mama, hawezi kukwepa kuwa na huruma na kutenda haki, mtihani alionao ni watu wenye nia mbaya kuwa sehemu ya watakaomkaribia akiwa Rais.
 
Kufungulia nchi huko China kukoje?
 
Hivi enzi ya utawala wa Magufuli Tanzania ilikuwa haiombi ombi?
 
Nasikia Ukabila umerudi kwa style nyingine - Wa Pwani ( Ndengeleko) vs Kanda ya Ziwa (Sukuma gang).. Kaazi kweli kweli
 
Deng alifanya hivyo baada ya kuridhika kuwa Wachina wamesoma na wana uwezo kiteknolojia kupambana na kiuchumi na taifa la Marekani na nchi za Magharibi, alifanya hivyo baada kuwapeleka vyuoni vijana maelfu kwa maelfu nchini Marekani na nchi za Magharibi , na waliporudi ndio akawa na jeuri ya kuruhusu nchi za Magharibi kuwekeza, kwa hiyo ndugu usifananishe Uchina ya Deng na Tanzania ya mama ni sawa na kufananisha sayari ya Mars na dunia yetu, alichoandika Mzee Mwanakijiji ni tahadhari iliyo mbele yetu, tunapojadili mambo ya maana tuache mahaba ya kukurupuka bila kufikiria na kuleta mifano ya uongo, soma kwanza historia ya Deng na mapinduzi ya viwanda huko China yalivyofanikiwa watu wachache kuwa mabilionea wa kutupwa namamilioni ya wengi kuwa masikini wa kutupwa ,wengine ndio hawa tunaogambania nao kuuza mahindi ya kuchoma Kariakoo na mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…