umasikini wa nchi yetu ni jinsi tu tunavyoweka vipaumbele vyetu,hiiyo pesa ingesimamiwa vizuri kwenye kilimo kwa mwaka mmoja tu, tungeilisha africa
Hizo rates ni za kawaida sana. Labda kama unataka wawe wanavolunteer! Kwa kazi za ushauri na zinazofanana na hizo kwa level ya elimu na experience ya baadhi ya wajumbe wa Tume ninaowafahamu daily rates zake ni kubwa zaidi. Kwa kifupi hizo ni below market rates for similar works.
Haya ndo mnayaona leo,mjiulize mbona bungeni hawaku yataja hayo mafwedha? Bajeti yao walikatwa wabunge wengi kuchangia.
Akya mungu mpaka leo najuta kwanin tanzania 2lipata uhuru na kwanin nmezaliwa tanzania.