Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inakuwa kama vile wamewakomoa wananchi kwa kulazimisha katiba kabla ya matakwa yao wameona watukomeshe kwa ufujaji na kufuru namna hiyo!pia wamewalewesha ili wanachotaka kiwemo kitakuwemo na wasichokitaka...hakitaingia...tutapiga kelele weee tor wanazo na ndizo zitakuwa katiba!
Ukisikia wizi ndani ya wizi na hujuma ndani ya huduma ndiyo hivi. Rais anawateua marafiki zake ili wapate mshiko kwa kisingizio cha kukusanya maoni wakati serikali ilishaandaa katiba yake. Who is fooling who? Help out there.
Joka kuu, wazanzibar wanadai tu hawana msmiatai unaoitwa kuwajibika. Wao wanachojua ni kudai tena kwa lazima halafu pasu pasu! hawajui gharama wanajua faida tu!Nyani Ngabu, Nonda, Nguruvi3, Mdondoaji, Barubaru, takashi, Ritz,
..mimi naomba kujua Zanzibar wanachangia kiasi gani ktk posho za hao wajumbe pamoja na gharama za tume hiyo.
..nakumbuka walingangania kwelikweli kwamba idadi ya wajumbe iwe 50/50 kwa pande mbili za muungano.
..hivi hatuwezi kweli kuokoa baadhi ya fedha kwa SMZ kubeba jukumu la kuwalipa wajumbe wa tume wanaotokea ZNZ??
NB:
..halafu tume ikimaliza muda wake wajumbe wanaweza kuuziwa magari[landcruiser VX] ya tume kwa sh laki 5, pamoja na "kukopeswa" nyumba za serikali kwa mtindo wa John Magufuli.
Nyani Ngabu, Nonda, Nguruvi3, Mdondoaji, Barubaru, takashi, Ritz,
..mimi naomba kujua Zanzibar wanachangia kiasi gani ktk posho za hao wajumbe pamoja na gharama za tume hiyo.
..nakumbuka walingangania kwelikweli kwamba idadi ya wajumbe iwe 50/50 kwa pande mbili za muungano.
..hivi hatuwezi kweli kuokoa baadhi ya fedha kwa SMZ kubeba jukumu la kuwalipa wajumbe wa tume wanaotokea ZNZ??
NB:
..halafu tume ikimaliza muda wake wajumbe wanaweza kuuziwa magari[landcruiser VX] ya tume kwa sh laki 5, pamoja na "kukopeswa" nyumba za serikali kwa mtindo wa John Magufuli.
Ni hizo posho za laki 280- 450 walizolipwa kwa kila siku hata kama hawafanyi kazi ndio zinazotumika kununua Tiles.