Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

katiba ijayo kizungumkuti
maoni yetu wanayachukua just in case
washaanda ya kwao mda mrefu sana.
 
Nyani Ngabu, Nonda, Nguruvi3, Mdondoaji, Barubaru, takashi, Ritz,

..mimi naomba kujua Zanzibar wanachangia kiasi gani ktk posho za hao wajumbe pamoja na gharama za tume hiyo.

..nakumbuka walingangania kwelikweli kwamba idadi ya wajumbe iwe 50/50 kwa pande mbili za muungano.

..hivi hatuwezi kweli kuokoa baadhi ya fedha kwa SMZ kubeba jukumu la kuwalipa wajumbe wa tume wanaotokea ZNZ??

NB:

..halafu tume ikimaliza muda wake wajumbe wanaweza kuuziwa magari[landcruiser VX] ya tume kwa sh laki 5, pamoja na "kukopeswa" nyumba za serikali kwa mtindo wa John Magufuli.
 
Last edited by a moderator:
inakuwa kama vile wamewakomoa wananchi kwa kulazimisha katiba kabla ya matakwa yao wameona watukomeshe kwa ufujaji na kufuru namna hiyo!pia wamewalewesha ili wanachotaka kiwemo kitakuwemo na wasichokitaka...hakitaingia...tutapiga kelele weee tor wanazo na ndizo zitakuwa katiba!

wapizani mliomba katiba mpya hiyo sasa gharama yake
 
Ukisikia wizi ndani ya wizi na hujuma ndani ya huduma ndiyo hivi. Rais anawateua marafiki zake ili wapate mshiko kwa kisingizio cha kukusanya maoni wakati serikali ilishaandaa katiba yake. Who is fooling who? Help out there.

Kichwa kama andazi,una-quote paragraph lote hujui wengine tunatumia simu,halafu unajibu kwa mstari mmoja,una akili ya kondoo jike.
 
Nyani Ngabu, Nonda, Nguruvi3, Mdondoaji, Barubaru, takashi, Ritz,

..mimi naomba kujua Zanzibar wanachangia kiasi gani ktk posho za hao wajumbe pamoja na gharama za tume hiyo.

..nakumbuka walingangania kwelikweli kwamba idadi ya wajumbe iwe 50/50 kwa pande mbili za muungano.

..hivi hatuwezi kweli kuokoa baadhi ya fedha kwa SMZ kubeba jukumu la kuwalipa wajumbe wa tume wanaotokea ZNZ??

NB:

..halafu tume ikimaliza muda wake wajumbe wanaweza kuuziwa magari[landcruiser VX] ya tume kwa sh laki 5, pamoja na "kukopeswa" nyumba za serikali kwa mtindo wa John Magufuli.
Joka kuu, wazanzibar wanadai tu hawana msmiatai unaoitwa kuwajibika. Wao wanachojua ni kudai tena kwa lazima halafu pasu pasu! hawajui gharama wanajua faida tu!
Hawahjui kitu kinaitwa majukumu.

Kesho utamsikia utamsikia maalim Seif akisema kuna nafasi chache za utumishi balozi za nje.
Haya ndi mambo tunayowaambia kila siku kuwa hawana cha kuchangia ni mafunsi wa kudai zaka na ruzuku.

Hata wakibebwa mgongoni bado wataka keki huko huko.
Sasa aje mzanzibar atuambie wanachangia kiasi gani. Uwezo wa wenzetu hawa ni kudai hata kisichostahili.

Aje mzanzibar atuambie! SMZ inachangia nini maana walidai wanataka wajumbe sawa! kwenye matumizi hawataki.

Maalimu Seif unasemaje kwa hili, itisha mkutano kibanda maiti ulalamike kuwa hamkupewa fursa za kuchangia.

Ni mafundi wa kudai hata kisicho chao, mabingwa wa kutunga uongo na mashujaa wa kusikiliza hadithi.
 
Hawa kuwa wamejenga serikali iliona ni vizuri wapatiwe pesa za kujengea ili waishi maisha mazuri ya uzeeni.:confused3:
 
Tanzaniax2, nakupenda kwa moyo wote. Niseme nini tena, nchi yenye maajabu ambayo dunia imegoma kuyatambua.
Ni nchi pekee yenye tanzanite lakini siyo nchi inayoongoza kwa kuuza tanzanite duniani.
Ni nchi ambayo mwanafunzi anafaulu kuingia kidato cha kwanza ili hali hajui kusoma.
Ina tanzanite, gas, uranium, gold, makaa ya mawe, mabonde safi kwa aijili ya kilimo, misitu na wanyama pori wa kila namna, usisahau vyura wa pekee duniani lakini ni maskini wa kutupwa.
Wewe tanzania mi nakupenda; japokuwa unafisidiwa kila kona na walopewa dhamana; yaani mlinzi wa bucha kaamua kula nyama
 
JokaKuu,

Labda awali ya yote tuambiane ni kiwango gani Serikali ya mapinduzi zanzibar Ianachangia katika mapato ya nchi. Then tuchangie katika hili. Tukiweza kujua mchango wa Zanzibar kwenye government revenue tutaufahamu vizuri mchango wa znz.
 
Hii tume ni watovu wa nidhani kabisa kwa kila wanachofanya na hii hadi magri yao huwa wanay pki nje ya office yao enelo la watembeao kwa miguu... hii ni hatari sana kwa raia watembeao kwa miguu
 
Nyani Ngabu, Nonda, Nguruvi3, Mdondoaji, Barubaru, takashi, Ritz,

..mimi naomba kujua Zanzibar wanachangia kiasi gani ktk posho za hao wajumbe pamoja na gharama za tume hiyo.

..nakumbuka walingangania kwelikweli kwamba idadi ya wajumbe iwe 50/50 kwa pande mbili za muungano.

..hivi hatuwezi kweli kuokoa baadhi ya fedha kwa SMZ kubeba jukumu la kuwalipa wajumbe wa tume wanaotokea ZNZ??

NB:

..halafu tume ikimaliza muda wake wajumbe wanaweza kuuziwa magari[landcruiser VX] ya tume kwa sh laki 5, pamoja na "kukopeswa" nyumba za serikali kwa mtindo wa John Magufuli.

Suala la msingi liwe ni Kiasi gani Tanganyika inachangia na nikiasi gani Zanzibar inachangia?
 
Ni hizo posho za laki 280- 450 walizolipwa kwa kila siku hata kama hawafanyi kazi ndio zinazotumika kununua Tiles.

Labda tiles nazo zinaenda kutoa maoni ya katiba Magufuli hajalikamata kweli hilo gari au ile operation ya kukamata magari ya serikali imekufa
 
Back
Top Bottom