Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

Nadhani ni vizuri pamoja na kuyajua haya ukatwambia majukumu yao na umuhimu wa zoezi lenyewe na pengine kama ni gharama kwa lugha nyingine ungetusaidia kwa mifano mahali ambapo mchakato kama huu ulifanyika na wajumbe ama tume husika ililipwa shs ngapi?
 
Ingekuwa serikali inawalipa na watumishi wake wa ngazi za chini malimbikizo yao kwa wakati hata wakiwa wanalipana hizo ela tungeweza kumezea lakini kwa mtaji huu inakuwa ngumu kumeza
 
umasikini wa nchi yetu ni jinsi tu tunavyoweka vipaumbele vyetu,hiiyo pesa ingesimamiwa vizuri kwenye kilimo kwa mwaka mmoja tu, tungeilisha africa

Unataka kusema Katiba mpya haitoshi kuwa kipaumbele?
 
haya maisha halafu eti mwaka huu umekuja waali kwamba serikali haiwez kupandisha waalim madaraja ya kwani haina uwezo wa kuwalipa mishahara ya nyongeza lol!

jamani natafuta shule ya private ya kufundisha niko serious mwenye kujua shule yenye uhitaj wa mwl wa chem na phy aniambie tafadhali.
 
Hivi wanalipa PAYE kama wafanyakazi wa NGOs na Private sector? Maana kati ya malalamiko ya wafanyakazi ni kodi kubwa ya PAYE.
 
Hizo rates ni za kawaida sana. Labda kama unataka wawe wanavolunteer! Kwa kazi za ushauri na zinazofanana na hizo kwa level ya elimu na experience ya baadhi ya wajumbe wa Tume ninaowafahamu daily rates zake ni kubwa zaidi. Kwa kifupi hizo ni below market rates for similar works.
 
No wonder kuna jamaa mmoja alisema hajui kwa nini nchi yetu ni maskini! Kumbe kweli umaskini wetu ni wa kujitakia tu.
 
Sitegemei katiba ya maana kutoka kwa hiyo tume. Tuamke jamani
 
Hizo rates ni za kawaida sana. Labda kama unataka wawe wanavolunteer! Kwa kazi za ushauri na zinazofanana na hizo kwa level ya elimu na experience ya baadhi ya wajumbe wa Tume ninaowafahamu daily rates zake ni kubwa zaidi. Kwa kifupi hizo ni below market rates for similar works.

tuambie wewe unayejua rates zake tafadhali
 
Hii nchi inaliwa na wachache kweli! Ni lini hawa wafuja jasho watafaidi matunda ya jasho lao?. Bado kuna kila sababu ya kutafuta uhuru wa kweli.
 
Haya ndo mnayaona leo,mjiulize mbona bungeni hawaku yataja hayo mafwedha? Bajeti yao walikatwa wabunge wengi kuchangia.

Mda wooote nilikuwa SIJUI ni kwanini Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Warioba kawa KIMYA HIVYO haikosoi tena SERIKALi ya Mh. Jakaya KIKWETE; Sasa hapo ndio nilipoona KIDUCHU cha PESA wanavyopewa tu; KUSIKILIZA Maoni ya Wananchi HOI na MASIKINI vije KATIBA yao IWEJE... SIJUI kwanini TUSINGEWALETE Wale wote waliotuandikia BAJETI kutoka HUKO LONDON ---- kwa MALIPO hayo kwa SIKU Dah TUNGEPATA Nusu yetu halali ya ZIWA NYASA...
 
Bonge HAPANA, Hayo ni MAGARI yao MAPYA WAMENUNULIWA kwa AJILI ya TUME yao.... KWAHIYO hayo SIO ya SERIKALI ni ya TUME ya KATIBA MAPYA... na Unajua wakimaliza wanapewa HAYO MAGARI hayarudi SERIKALINI.... THAT's WASTE!!! LINI KIKWETE anatoka URAIS??? ni BINGWA wa SPEINDING
 
Last edited by a moderator:
Bora mimi niliisha amua kujiajili mwenyewe siku nyingi, serikali hii ya akina Mulugo nia pasua kichwa aisee!
 
Mjumbe mmjoa wa hiyo Tume kapewa Gari jipya shangingi na dereva wake lakini kachukua hilo gari na dereva kampa mke wake ndo analitumia pamoja na huyo dereva,yeye anasema anadereva wake!
 
wanalipwa kama obama ...........................yani kwa mtz haingii akilini kuwa mtu anapiga fungu kubwa hivyo
 
Profesa Mwesiga Baregu ni Kiongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA! yeye na wajumbe wenzake wanapokea mamilioni hayo ya walipa kodi Wananchi na kuamua kunyamaza kimyaaa!

La kushangaza Chama chake CHADEMA nacho kimyaaa! hivi huu sio ufisadi? au kwa kuwa mjumbe wao wa Kamati kuu Profesa Mwesiga Baregu nae mjumbe wa Tume ya Katiba?

Sera ya CHADEMA ni moja tu! vita dhidi ya ufisadi! sasa sijui watakuja na sera ipi mpya!
 
Ni vizuri tukajua utaratibu wa posho uko vipi, katika hali ya kawaida hawawezi kulipwa chini ya viwango rasmi katika sekta husika.
Kwa bahati mbaya sisi ni nchi masikini lakini utaalamu gharama yake ni kubwa sana, kwa umuhimu wa katiba sitegemei walipwe kidogo japo sipo katika nafasi ya kusema kama wanacholipwa ni sahihi.
kuna watu (sijaona mbongo) wanalipwa US $ 1000 kwa siku kwa huduma zao na ndio rates zao kama professionals
 
Back
Top Bottom