[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dahhh nimechekaaSiku hizi kawa motivational speaker , utadhan sio yeye aliyerokodiwa uchi na mbili mbili zake kama kengele za wachawi
Kuna yule bwa mdogo anajiita edizeni ze loka naona aliingia choo cha kike.
Ana mtoto mmoja anaitwa Samiradah ndio watu wamwambie ana uso mzito kama uji wa dengu
hivi anae watoto au?
Ndio hyo hyo shoo...anaolewa asubuhi jioni talakaBahati ya kuolewa na kuachika?
sw kumbe single motherAna mtoto mmoja anaitwa Samira
Yaapsw kumbe single mother
Hahahahaha hawa huwa wanatutoa stress maana bila vituko vyao tungepooza[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]unakumbukukumbu nzuri sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binamu nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano, wewe itikia Ndoa ya dida iendelee
Inakusikitisha na kukushangaza vipi? Ili hali kwa gallery yako zipo na unazichek vile upendavyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu inasikitisha na Kushangaza Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahYaap aliolewa Akaishia kutimuliwa vitu vyake na kibegi chake cha mkononi akarushiwa nje hukoo!alikua anajiita Dida wa E...
Inakusikitisha na kukushangaza vipi? Ili hali kwa gallery yako zipo na unazichek vile upendavyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka niulize huyu Dida si alishakuwa mke wa mtuπππ kumbe wako waliojiuliza hilo pia!Bibie ana undugu na Wastara
Kuna wanaume wanaroho ngumu kweli unaowa mwanamke design hii hapana kwa kweli.Huyu kwanza hatakiwi kuchangiwa kwenye ndoa kwenyewe hakai miaka5 kayatinginya anasepa
Anaeoa umo lazma nae atakuwa mkweche kinamna flaniUnaoaje mwanamke kama huyu kwa mfano!!?
huko chini kilometa zitakuwa zimesoma nyingi sana......mkweche....
kweli kila mtu na akili yake....
samahani kwa maneno makali
Sio ndoa mzee, wanapenda shughuli hasa za harusi πππ utashangaa miezi 6 haifiki ndoa chaliWanawake wa Dar wanapenda sana ndoa!
Yule fala ndio alikuwa mume wa Dida kumbe πππKuna yule bwa mdogo anajiita edizeni ze loka naona aliingia choo cha kike.
Umaarufu wa majina ya wachangiaji na kiasi walichoahidi inaonyesha hali halisi ya kiuchumi ya watu, hali ni mbaya tumuombee Mama katika kurejesha mambo na kurekebisha uchumi wetu ulioporomoka