Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Dida nae ndo nini kuwaanika wenzao namna hiyo wakat wametuambia wamechanga million 8[emoji23][emoji23], Dida sio mtu mzuri akiii, kama namuona Irene alivyochunda uso kwa kumbuka mxieew kujifanya ana hela wakati anakaa nyumba ya kupanga
Karudi kwa baabake mbezi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Umeshawahi kuwaona hao unao wazungumzia wanafanya hayo mapenzi hadharani? Na nina amini ingekua hivyo bas wangechukuliwa hatua za kisheria,

Suala la maadili yapi hayo unayo yazungumzia wee? Haya ya wababa kutembea na vitoto? Mama kutembea na vijana? Watu wanafanya dhambi kila aina hapa, ila faragha za watu binafsi juu ya miili yao ndo inawakereketa saana?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh

Hayo uliyoyazungumza ni maneno tu ,unajuaje umri wa mtu? Kwani waliviweka vyeti vyao vya kuzaliwa online? Kuna watu wengine wana maumbo ya kiutu uzima ila wana umri mdogo,halafu ukishavuka above 18 kwa sheria zetu ni mtu mzima na sheria ya ndoa hawakutaja masharti ya umri baina ya mume au mke awe nao ili mradi tu awe above 18 na wameridhiana wenyewe.

Ndicho nachozungumzia hao mapunga zeze hawajakatazwa kutoa tigo zao ,watoe tu ila ufirauni wao waufanyie faragha na sio hadharani.
 
Mashoga zangu wote hawanikaribishag majumban kwao, tunatakana bar, maana warumi hanaga siri hata umpe million 2 ukimpeleka kwako kama hapaeleweki atakutangaza mtaa mzima[emoji23][emoji23]
aisee!
 
Dida nae ndo nini kuwaanika wenzao namna hiyo wakat wametuambia wamechanga million 8[emoji23][emoji23], Dida sio mtu mzuri akiii, kama namuona Irene alivyochunda uso kwa kumbuka mxieew kujifanya ana hela wakati anakaa nyumba ya kupanga
Hii kuna mtu kahack account ya whatsap ya dida huoni hiyo ni pc
 
Bro huyo ndugu unaebishana nae ni wale wale,utaanzisha ugomvi usio na maana bure! Kwani humjui?

Hahaaaa picha ilikuwa inakuja lakini ikawa inatoka ,nilikuwa naangalia ile signature yake nikawa naikosa ile ya L.G.B.T ameiondoa ndio maana nikashindwa ku_conclude kama ndio wale wale Oyaaa oyaaa kidole juu....Thanks Case Closed.
 
Haaaaa Haaaaa 😂 hivi kumbe alikuwa hajui kuwa jamaa ni mwanachama eeh

Hahahaa comment ya Licking Wounds ilinipita ila nilikuwa nahisi ni yule ila amebadili jina na kuondoa signature ya L.G.B.T ndio maana nimeshindwa kujua na pia comments zake za sasa ni za kike kike so ikawa ngumu kujua kama nabishana na Oyaaa oyaaa sigara kali kidole juu.
 
Hayo uliyoyazungumza ni maneno tu ,unajuaje umri wa mtu? Kwani waliviweka vyeti vyao vya kuzaliwa online? Kuna watu wengine wana maumbo ya kiutu uzima ila wana umri mdogo,halafu ukishavuka above 18 kwa sheria zetu ni mtu mzima na sheria ya ndoa hawakutaja masharti ya umri baina ya mume au mke awe nao ili mradi tu awe above 18 na wameridhiana wenyewe.

Ndicho nachozungumzia hao mapunga zeze hawajakatazwa kutoa tigo zao ,watoe tu ila ufirauni wao waufanyie faragha na sio hadharani.
Sasa si nimekuuliza pale juu, hao watu unaowazungumzia, umeshawahi kuona wanafanya hilo tendo hadharan kwa kadamnasi?

Hata sheria za chi yetu zinasema, kila mtu ana haki ya kuishi vile yeye atakavyo, pasipo kuharibu au kukiuka kanuni, taratibu za nchi zilizowekwa, pia faragha ya mtu iheshimiwe na kuthaminiwa.

Nadhani utakua umeelewa sasa.
 
Back
Top Bottom