King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sasa si nimekuuliza pale juu, hao watu unaowazungumzia, umeshawahi kuona wanafanya hilo tendo hadharan kwa kadamnasi?
Hata sheria za chi yetu zinasema, kila mtu ana haki ya kuishi vile yeye atakavyo, pasipo kuharibu au kukiuka kanuni, taratibu za nchi zilizowekwa, pia faragha ya mtu iheshimiwe na kuthaminiwa.
Nadhani utakua umeelewa sasa.
Nimekuelewa sana Mkuu.