Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Ebu weka picha basi za hiyo mijengo.Kinacho endelea awamu hii ni kufuru.
Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.
Na tukienda hivi mpaka 2030..
Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.
Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji..
Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye taka kuachilia mereji wake upotee.. We'll keep rambling while those in the system create generational wealth.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Hata unafikiri watz wanahuo muda wa kujua?Roman empire haikuwa chama cha siasa mkuu!
CCM sio chama cha siasa wala sio dola.
Bila Mapinduzi tena makubwa, mfumo walio utengeneza,sio Watanzania wengi wanaoufahamu!
🤣🤣🤣Wakuu mkiendelea kubaki ndani ya CDM mtakufa njaa na wake zenu wanataka Hela na watoto shule!! Muhimu ingieni tu kwenye mfumo wa CCM kimya kimya maisha yaendelee hakuna namna
Kweli bhanaKinacho endelea awamu hii ni kufuru.
Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.
Na tukienda hivi mpaka 2030..
Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.
Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji..
Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye taka kuachilia mereji wake upotee.. We'll keep rambling while those in the system create generational wealth.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Sahihi mkuu.Kama kuporomosha majumba ndio maendeleo basi hii nchi ni zaidi ya ghost country,tumerudi enzi za kikwete ambapo watu walikuwa wanamwaga pesa kwenye bendi za kikongo (mapedeshee) yaani ni kufuru huku mama zetu na dada zetu hospital wanajifungulia chini ya sakafu.KIFUPI TU NCHI INA WASHENZI WENGI SANA AMBAO KWAO UBINADAMU SIO ISSUE KUANZIA VIONGOZI MPAKA WASENG* WENGI WALIOMO HUMU JF
AIsee kuna jamaa wanne maeneo flani hivi wameshusha Mamansion ya hatari ,yaani wote tangia waanze ujenzi hawajawahi kusimama,majumba yamejengwa ndani ya miezi 6 tu ,Boma linaisha wamepiga fense ,wakati fensi imeisha ,wanapiga finishing ,kuna moja limeshaisha wanamalizia final touch ,jingine lishaisha watu wanakaa ,pembeni yake ndiyo washamaliza boma na fense wanapiga plasta ,mwingine kashamaliza boma na fense anaweka grill ,yote ni mamansion hasa na zote zina servant kota ambazo ukienda mitaani vijana waliojipata ndiyo wanajenga hizo nyumba(kwao ni sevant kota).Kinacho endelea awamu hii ni kufuru.
Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.
Na tukienda hivi mpaka 2030..
Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.
Shame on us ambao hatuko kwenye hio Mifereji..
Ukweli ni kwamba, nani asiyependa pesa? Tutakaa tunaongea sana, ila hakuna anaye taka kuachilia mereji wake upotee.. We'll keep rambling while those in the system create generational wealth.
Kila mtu ashinde mechi zake.
ChaiNchi imefunguka watu wanafanya biashara kwa uhuru na kuna usalama kwa wawekezaji ndio maana unaona ukuaji na pia utakuwa umeona Soko la Hisa DSE linakuwa kwa kasi, hakuna mwekezaji anayewekeza pasipo na usalama na mazingira mazuri.
Ni kufuru mkuu, watu tayari wanamifereji yao. Wanatumia fursa vizuriAIsee kuna jamaa wanne maeneo flani hivi wameshusha Mamansion ya hatari ,yaani wote tangia waanze ujenzi hawajawahi kusimama,majumba yamejengwa ndani ya miezi 6 tu ,Boma linaisha wamepiga fense ,wakati fensi imeisha ,wanapiga finishing ,kuna moja limeshaisha wanamalizia final touch ,jingine lishaisha watu wanakaa ,pembeni yake ndiyo washamaliza boma na fense wanapiga plasta ,mwingine kashamaliza boma na fense anaweka grill ,yote ni mamansion hasa na zote zina servant kota ambazo ukienda mitaani vijana waliojipata ndiyo wanajenga hizo nyumba(kwao ni sevant kota).
Kwahio wewe unaamini kila mtu ana hio mindset? Awe fisadi,aibe ajenge ghorofa na kuendesha LC? Cheap people kama viongozi wenu wanauza rasilimali za nchi ili wapate kuendesha G Wagon! Cheap people.Ndo maana nikasema kila mtu ashinde mechi zake... Ningelikuwa ni wewe ungekuwa na hii mindset?
Nalijua hilo pia mkuu..Kwahio wewe unaamini kila mtu ana hio mindset? Awe fisadi,aibe ajenge ghorofa na kuendesha LC? Cheap people kama viongozi wenu wanauza rasilimali za nchi ili wapate kuendesha G Wagon! Cheap people.
Halafu sio wote unaoona huko mitaani wanaendelea ni wezi.
Ukweli nazifahamu familia kazaa ambazo wamefisadi nchii hii, ila Sasa choka mbayA na Ile miradi imekufaSawa lakini wakifa na hicho walichoiba kinakufa, most likely.
Sisi tupambane na hali zetu hakuna namna!!