Pambano linaanza saa kumi na moja kamili kwa saa za afrika Mashariki. Mchezo utaonyeshwa moja kwa moja na Supersport kupitia channel ya SS7 na Pia nadhani Azam TV wataonyesha kupitia channel yao ya ZBC2pambano linaanza saa ngapi?
Kweli kabisa kaka Mimi nililiona hili tangu Jana make misifa mtaani imekuwa mingi sanaSina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
duuu ata geita mambo ndo ivyo ivyo....naona wingu limetanda tuu kishaa za kata kata maninaIv ving'amuz vingine nishida mvua ikinyesha inakua ovyo kabsa AZM TV mnatupa tabu watu wa iringa bn du
Mbona hana kikosi cha kudumu?Daah, huyu kocha analeta tena yale ya cape verde ugenini[emoji15] [emoji15]
Naona Kocha kaamua kupaki basiKikosi kizima mabeki ?
Obadia karibu nyankumbu kwenye ukumbi wa mpira hapa tunaona freshduuu ata geita mambo ndo ivyo ivyo....naona wingu limetanda tuu kishaa za kata kata manina
Kwa kikosi kilichotajwa si ajabu yakatokea ulichoota,ee Mungu tusaidieSina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Uko Iringa sehemu gani mbona tunacheki live bila chenga Azam zbc 2Iv ving'amuz vingine nishida mvua ikinyesha inakua ovyo kabsa AZM TV mnatupa tabu watu wa iringa bn du
11 kamilipambano linaanza saa ngapi?
Yan,ninoma mkuu shida tupuduuu ata geita mambo ndo ivyo ivyo....naona wingu limetanda tuu kishaa za kata kata manina
Hiki kikosi hakika ndicho kitakachoongeza magoal ya kufungwaKwa kikosi kilichotajwa si ajabu yakatokea ulichoota,ee Mungu tusaidie
Mkuu hata wew unaweza kuandika ulichokiota usiku... Mimi nmeota ivo kuna kuwa kweli au si kweli lakin naomba uwe mvumilivuWapiga ramli mmeanza
Uzalendo hata kukubali matokeo piaWe siyo mzalendo, unatamani tufungwe