Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Sina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.

Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....

Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Kweli kabisa kaka Mimi nililiona hili tangu Jana make misifa mtaani imekuwa mingi sana
 
Iv ving'amuz vingine nishida mvua ikinyesha inakua ovyo kabsa AZM TV mnatupa tabu watu wa iringa bn du
 
Banda nimajeruhi au? Huyu kocha inabid ifikie hatua na yeye tutest akil take sasa
 
Sina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.

Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....

Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Kwa kikosi kilichotajwa si ajabu yakatokea ulichoota,ee Mungu tusaidie
 
Msimamo wa Kundi ambalo Tanzania imepangwa mpaka sasa ni kama inavyoonekana.

0F94CC32-5541-4502-AEDD-8AD399938D55.jpeg
 
Usituaminishe kushindwa kabla ya kuanza hayo ni mawazo yako wewe mwenyewe na ndoto zako za mchana kweupe
 
Back
Top Bottom