Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Duh...
Labda wanataka ka moja tu..then wapaki basi
Funga dish lako vizuri zbc wako live kupitia AzamTVIv ving'amuz vingine nishida mvua ikinyesha inakua ovyo kabsa AZM TV mnatupa tabu watu wa iringa bn du
ss7Mechi inaonyeshwa wapi
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Dkt. John Magufuli ametums ujumbe mfupi, amesema atakuwa anazatama mchezo wa Taifa Stars na Lesotho huku akiwatakia kila la heri warudi na ushindi.View attachment 938588
Soka halipo hivyo😀😀😀😀Leo staz atashinda
1-0 au 2-1 hata 2-0
wakibana sanaa draws
halafu kwa kuwa Uganda tuna ukaribu nao
magu ataongea na m7 Tz ishindilie Uganda bao 5 ili kufidia coz uganda wao c wamepia bhnaa!!!!
Ngoja tuoneMungu wangu.Kocha ana test mitambo. Cape Verde away.
Naomba niwe na makosa kwenye uamuzi wake. Lakini dah. Labda kocha anajua wachezaji wake. Too defensive.