Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kikosi kamili
3C5A19A3-7B62-4A85-8FD8-318B7294159C.jpeg
 
Leo staz atashinda
1-0 au 2-1 hata 2-0
wakibana sanaa draws
halafu kwa kuwa Uganda tuna ukaribu nao
magu ataongea na m7 Tz ishindilie Uganda bao 5 ili kufidia coz uganda wao c wamepia bhnaa!!!!
Soka halipo hivyo😀😀😀😀
 
Mungu wangu.Kocha ana test mitambo.
Kama Cape Verde away.
Naomba niwe na makosa kwenye uamuzi wake. Lakini dah. Labda kocha anajua wachezaji wake. Too defensive.
 
Mungu wangu.Kocha ana test mitambo. Cape Verde away.
Naomba niwe na makosa kwenye uamuzi wake. Lakini dah. Labda kocha anajua wachezaji wake. Too defensive.
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom