Ule mgoli tuliokoswa umewavuruga..Tunashambuliwa sana timu mbovu
Tunashambuliwa sana timu mbovu
Tunajihami na lipi?
Tusimlaumu ndo msimu wake wa kwanza ligi kuuHivi ndo nani huyu?
Kama alivosaidiaa mchezaji wao kupiga hewa ..ingekuwa simba na yanga ungesikia uchawiiYaani kikosi cha hovyo sana hiki labda Mungu awe upande wetu
Nini sasaTale anawanyanya mashabiki hapa
[emoji849]Huyu amnike naye k
Tuwape mda wauzoee mkuuWachezajii wameshindwa kuadapt uwanja manacheza tu makidaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona Dalili za kuzitapika
Hahaha tulia mzee baba hii timu pressure tupuNini sasa