Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Wachezajii wameshindwa kuadapt uwanja manacheza tu makidaaa
 
Kocha kaweka mabeki wengi akidhani kuwa wana kariba ya Benjamin mendy au kyle walker kwamba wapande watoe krosi then warudi kwa kasi. Hii aliyoiweka humu mizito sana. Na goli watakalotufunga lesotho asilimia kubwa itakuwa ni counter
 
Back
Top Bottom