Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kocha kaweka mabeki wengi akidhani kuwa wana kariba ya Benjamin mendy au kyle walker kwamba wapande watoe krosi then warudi kwa kasi. Hii aliyoiweka humu mizito sana. Na goli watakalotufunga lesotho asilimia kubwa itakuwa ni counter
Nimecheka sana hapo kwa Ben Mendy
 
Kwa haya maombi ya samata acha tu tupigwe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji193]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…